Kama si Mbowe, basi mtoto wa Mbowe, kama si Kafulila, basi mjukuu wa Kafulila n.k


Umemsahau Le Mutuzu na Mzee Malechela!
 
Maandalizi ya kurithishana madaraka. Hii kitu iishie ndani ya CHADEMA tu.
 
Mapenzi Yakizidi Sana yanakuwa ni kama ugonjwa... Hujiwazii wewe mwenyewe kua hata balozi Wa nyumba kumi wewe unawazia Watoto Wa Wenzio! Kila la Heri mkuu katika hilo lakini usijeshangaa mtoto wa Mbowe Akaja kuwa Mwanachama wa Ccm damu
 

Always you have a negative thoughts about wapinzani especially chadema,mbona husemi kina bush na familia yao nzima ?
There is a chance children of great people can be great too
 
Ok lakn je hao watoto wao wameishi kama sisi watanzania masikini? wamesoma shule za kata? wanaujua UMASIKINI? wao wamekulia kwenye maisha ya raha so cdhani km watakuwa na uchu wa kuwatetea masikini.
 
Always you have a negative thoughts about wapinzani especially chadema,mbona husemi kina bush na familia yao nzima ?
There is a chance children of great people can be great too

Bahati mbaya kitufe cha "like" sikioni ila ningekupa like yangu.

Huyo mtu hajitambui ni wa kupuuzwa tu.
 
Mbowe?? Huyu anayefanya watanzania mataahira kwa kuwaambia fulani ni fisadi kwa muda wa miaka nane alafu ndani ya wiki mbili anampa kugombea urais na kuaema ndo mwokozi? Huyu anayewapokea kina sumaye na kingunge na kusema ndo wataoongoza mabadiliko?
DR. SLAA ANA NAFASI KATIKA HISTORIA YA MAPINDUZI YA SIASA, yeye ndo aliyeijenga chadema hii ya sasa, mbowe anaibomoa!
 
Mimi sina chama ila naipenda siasa ya kweli kwakuwa maisha yetu yote au mafanikio huwa yanatokana na siasa , ikiwa AFYA , elimu , Biashara yenye mafanikio na kilimo bora , uzuri wake unatokana na siasa nzuri but siasa ikiwa mbaya kila kitu kitakuwa ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…