DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,362 Reaction score 83,363 Oct 21, 2024 #1 Kama unapata shida Kufungua PM inaandika connecting ebu Fanya hivi Update crome yako au browser
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,148 Oct 21, 2024 #2 Sawa mkuu
Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,367 Reaction score 11,602 Oct 29, 2024 #3 Ila wahaya, kujikuta nshomile🤣🤣🤣 Lakini si kuna kipindi cookie na Maxence Melo walikuwa wanahojiwa na BBC kuhusu hili suala na tukakubaliana ku update browser zetu? Kwanza kwa Mtanzania kutumia app yoyote bila kuupdate ni dalili tosha ya uchawi
Ila wahaya, kujikuta nshomile🤣🤣🤣 Lakini si kuna kipindi cookie na Maxence Melo walikuwa wanahojiwa na BBC kuhusu hili suala na tukakubaliana ku update browser zetu? Kwanza kwa Mtanzania kutumia app yoyote bila kuupdate ni dalili tosha ya uchawi