Kama nyie mnaroga na sie tunaroga vilevile

No more ...No less..!!! Tit for tat is a fair game...!!!!
Mna chama tuna chama
Mna mgombea tuna mgombea
Mna wanachama tuna wanachama
Mna majeshi tuna wananchi
Mna Masheikh tunao pia
Mna maaskofu tunao pia..

Mna wachawi 900 tuna 2700
Mnaroga saa nane usiku ..tunaroga saa sita kamili...tumewatangulia...hakuna awali mbovu, kilinge chenyu cha manabii bandia ni kusanyiko la maroho...yanapingana kinguvu yenyewe kwa yenyewe bila nyie kujua. Mna wasanii 200, tuna umati wa freestyle...popote tulipo wapo...hatuwabebi na motokari wala maksai...!!! Hatuwapi senti tano ...NI MAHABA TU!

Ukiroga saa nane usiku hutafanikiwa asilani
Huo ni muda wa mapepo
Huo ni muda wa ziraili...(mtakufa wima vilingeni shauri yenyu)
Huo ni muda wa wanga ...
Roga sita usiku siku mpya inapoanza...Roga alfajiri mwanga unapopokea kijiti cha kiza...kuna ahueni...kuna mafanikio.

Kama uliweza kuruka KICHULA lakini sasa huwezi kuchechema kiduku huoni hao walozi wako wanakutapeli tuu...huku mlozi kule nabii...
TANGU LINI MWANGA UKACHANGAMANA NA GIZA? Allah hakuwa mjinga kuvitenga hivi viwili....!!!

Motokari bila pepeo utaleta hasara kubwa ...lakini pepeo linahitaji maji ...SIO LAZIMA UELEWE kila kitu...
Dah..! Nawaza huyu Islaeli cjui ana lengo gani!
 
Back
Top Bottom