Kama niwewe jitambulishe

antistress

New Member
Dec 1, 2015
3
0
Namtafuta clasment wangu anaitwa Wilyalfa Wilyfest. Tumemaliza wote stnd 7 pale mwereni primary. Pia hata wengine tuliokuwa pamoja mnakaribishwa. Bila kuwasahau Robati kamili, kinanasi mdevi, chilee, pamfily, samweli aka kimbuzii leons nawengineo karibuni tutiririke
 
Sasa wewe mbona hujataja jina lako halisi ili tukukumbuke?

Umemaliza std 7 mwaka gani?

Baada ya hapo uliendelea na masomo gani?

Sasa hivi unajishughulisha na nini?
 
Namtafuta clasment wangu anaitwa Wilyalfa Wilyfest. Tumemaliza wote stnd 7 pale mwereni primary. Pia hata wengine tuliokuwa pamoja mnakaribishwa. Bila kuwasahau Robati kamili, kinanasi mdevi, chilee, pamfily, samweli aka kimbuzii leons nawengineo karibuni tutiririke

Taja shule
 
Duh hayo majina ni ya watanzania kweli? Mbona kama vile ni Jamaica?
 
Back
Top Bottom