Kama nitakufa hapa Seleani Hospital kwa maumivu niliyopata jana msife moyo endeleeni kupambana,

Muda ndio huu na wakati umefika kwa serikali dhalimu kuondoka. Tumechoka na serikali kandamizi na chochezi ni lazima ziondoke na kuachia madalaka kwa amani kwa watanganyika wenyewe, nilikipenda sana chama cha ukombozi wa tanganyika lakini mmetusaliti kwa kuzitumia rasilimali zetu mtakavyo na kutuacha hatuna umeme wa uhakika,kilimo chenye manufaa kwa watanganyika,madawa hakuna,vifo vya kina mama na watoto visivyokwisha au hata kupungua na ufisadi wa kutisha katika manunuzi ya umma. kwa sasa imetosha tena imetosha sana napambana kwa ajili ya watoto na wajukuu wa kizazi kijacho niko Selean hospt arusha natibiwa kwa maumivu ya mguu na mkono niliyoyapata jana najitolea kufa kwa ajili ya tanganyika mpya serikali dhalimu lazima zioòndoke.

Hufi bwana Mungu atakusaidia...upone urudi kwenye mpambano!!
GWS KAMANDA!
 
Pole sana Kamanda na kweli sasa ni mwisho wauaji lazima washughulikiwe au watawala wanaowalinda waondoke madarakani.
 
Kwa kusoma comments nyingine humu naelewa kwanini elimu inaendelea kuwa duni ..inarahisisha kutawala bila vikwazo ..
 
Muda ndio huu na wakati umefika kwa serikali dhalimu kuondoka. Tumechoka na serikali kandamizi na chochezi ni lazima ziondoke na kuachia madalaka kwa amani kwa watanganyika wenyewe, nilikipenda sana chama cha ukombozi wa tanganyika lakini mmetusaliti kwa kuzitumia rasilimali zetu mtakavyo na kutuacha hatuna umeme wa uhakika,kilimo chenye manufaa kwa watanganyika,madawa hakuna,vifo vya kina mama na watoto visivyokwisha au hata kupungua na ufisadi wa kutisha katika manunuzi ya umma. kwa sasa imetosha tena imetosha sana napambana kwa ajili ya watoto na wajukuu wa kizazi kijacho niko Selean hospt arusha natibiwa kwa maumivu ya mguu na mkono niliyoyapata jana najitolea kufa kwa ajili ya tanganyika mpya serikali dhalimu lazima zioòndoke.
Hahahaha
 
Yaelekea hajavaa hata nguo huyo, yaelekea yupo na husb...
Inamaana saa hii anampa husband haki yake ya ndoa au vipi?,lakini hana shimo la mbele ila ana tigo tu au vipi?,kwa hiyo anapumuliwa kisogoni,hahahaaaaaaa Tanzania ya viwanda vya samadi ya binadamu,yaani wanatafunwa tigo ili kuzalisha samadi ya kulimia mazao bora shambani.
 
Nashindwa kuamini kama watanzania tumegeuka kuwa wanyama, kuna matukano ya kutisha humu, ndani,shetani amepata wa kwake...ccm inabidi muurudie utu, labda ni mob psychology?..but its too much!..kama tunafikia hatua hii, kinachofuata ni majumbani tunakoishi, kuafuatana nyumba kwa nyumba ili mradi huyu ni ccm,yule chadema, NCCR nk..hapo ndipo tutaona madhara ya siasa za fitina
Kumbe utawala wa kikwete ni sawa na wa Magufuli? Lawama zile zile, na hata miaka ijayo utawala mwingine mtalalamika tu. Siasa ni zile zile ndugu

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Muda ndio huu na wakati umefika kwa serikali dhalimu kuondoka. Tumechoka na serikali kandamizi na chochezi ni lazima ziondoke na kuachia madalaka kwa amani kwa watanganyika wenyewe, nilikipenda sana chama cha ukombozi wa tanganyika lakini mmetusaliti kwa kuzitumia rasilimali zetu mtakavyo na kutuacha hatuna umeme wa uhakika,kilimo chenye manufaa kwa watanganyika,madawa hakuna,vifo vya kina mama na watoto visivyokwisha au hata kupungua na ufisadi wa kutisha katika manunuzi ya umma. kwa sasa imetosha tena imetosha sana napambana kwa ajili ya watoto na wajukuu wa kizazi kijacho niko Selean hospt arusha natibiwa kwa maumivu ya mguu na mkono niliyoyapata jana najitolea kufa kwa ajili ya tanganyika mpya serikali dhalimu lazima zioòndoke.
Mkuu vipi ulipona??
 
Kishimundu
 
Back
Top Bottom