Kama nitakufa hapa Seleani Hospital kwa maumivu niliyopata jana msife moyo endeleeni kupambana,

Wewe ndiyo Msaliti namba moja, kwanza umevunja Sheria za Nchi yetu kwa kuiita Tanganyika wakati hiyo Nchi haipo kuna Nchi moja tu, Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pili wewe ni Muongo mkubwa, pamoja na changamoto nyingi tulizonazo lkn bado tumejitahidi na tumepiga hatua kubwa tu mbele ukilinganisha na tulikotoka, Mifano hai ipo mingi kuna watu nawajua ambao wametokea Familia maskini kabisa lkn wameweza kusoma mpaka Chuo Kikuu na sasa wamepata kazi na wameondokana na Umaskini, si ajabu hata wewe ukawa mmojawapo!

Idadi ya Wamama wanaozalia Hospitalini imeongezeka kwa maana nyingi vifo vya mama na mtoto vimepungua, vijana wengi tu wanapata kazi wana maisha mazuri ingawaje bado kazi ni kubwa mbele, lkn tunakwenda vizuri!

Hivyo, Acha Uongo na ni najua kwa uhakika wewe hauko Hospitalini na wala haujaumizwa, ila uko hapa kuwakebehi wale waliokufa na kuumizwa kwa manufaa yako binafsi, wewe ndiyo moja ya wachochezi wakubwa mnaokaidi Sheria za Nchi kwa kwenda kinyume na Matakwa ya Serikali (Halali), Acha uchochezi waache marehemu wa watu wapuumzike kwa Amani na usijali zamu yako kwenda Hospitalini itafika tu!

ahsante sitakujibu hata moja "wameru tuamke usingizini iliboru,tengeru,meru juu na Chini na wote waliopo sehemu mbalimbali ya tanganyika na nje wamezarau mila zetu"
 
Nashindwa kuamini kama watanzania tumegeuka kuwa wanyama, kuna matukano ya kutisha humu, ndani,shetani amepata wa kwake...ccm inabidi muurudie utu, labda ni mob psychology?..but its too much!..kama tunafikia hatua hii, kinachofuata ni majumbani tunakoishi, kuafuatana nyumba kwa nyumba ili mradi huyu ni ccm,yule chadema, NCCR nk..hapo ndipo tutaona madhara ya siasa za fitina
 
Pole sana ndugu yangu kwa kuumia ukiwa mstari wa mbele kupambana na ukoloni mamboleo unaoitesa nchi hii kwa sasa Mungu atakunusuru na utapona na kuungana na wenzako wanaolilia damu ya watoto inayomwagwa bure na polisi wa hao wanaowatetea wanaomtaka Mbowe Lema Slaa wapigane wao wakati sisi wengine tumelala sijui akili za madhalimu zipoje!!.

Pole kwa maneno ya kejeli nyingi wanazokujeli wewe ili kuwakatisha tamaa maelfu ya watanzania wanaopigania haki katika nchi yao wnyewe hilo usilione geni ni la kawaida hata Nyerere wakati anadai uhuru wa nchi hii mbali ya kukejeliwa na wakoloni pia matarishi amabao walikuwa watanganyika wenzetu walimkejeli na kumtisha kama wanavyofanya hao wanaokukejeli humu ndani.

Lakini wajuwe moja tu kuwa hakuna marefu yasiyo na nchi kama siyo wao basi hata watoto wao watauona mwisho wa yote haya ambapo leo hao wanaokukejeli katika mapambano haya ndiyo wanaotetea utawala wao kitumbua chao kwani wao ndiyo wenye kazi au biashara ya wizi wizi, wao ndiyo wanaokula milo mitatu kwa siku wao ndiyo wenye magari ya kifahari ya wao wenyewe wake au waume zao watoto wao, wao ndiyo wanaosomesha watoto katika shule nzuri siyo za kata kwa kila hali hawawezi kukupongeza ila mimi na wenzangu tunakupongeza na wengine tunafuata.
 
Nashindwa kuamini kama watanzania tumegeuka kuwa wanyama, kuna matukano ya kutisha humu, ndani,shetani amepata wa kwake...ccm inabidi muurudie utu, labda ni mob psychology?..but its too much!..kama tunafikia hatua hii, kinachofuata ni majumbani tunakoishi, kuafuatana nyumba kwa nyumba ili mradi huyu ni ccm,yule chadema, NCCR nk..hapo ndipo tutaona madhara ya siasa za fitina
Ni kweli waanzilishi wa siasa za fitina ni Chadema leo watu wamekuwa wakichomea nyumba kisa mbunge wa CCM kweli? kila kwenye mikutano na maandamano CDM wanayopanga lazima watu wafe tena ni wale wasiojiweza ambao wamepandikizwa chuki wakati viongozi wao husikii kuwa wamepata hata mkwaruzo, wakati nyie mwalala hospitali wao wako ndani ya viyoyozi na suti nyeusi wakisubiri eti waje wawazike kwa heshima huku familia zenu zikiachiwa majeraha ya moyo.

yaani angalia kote walikopita hakuna kulikobaki salama. Cha ajabu kwa kuwa wanalijua hilo mahali palio na familia zao hutawasikia wamepagusa iwe kwa mikutano au maandamano lakini bado watu hawajiuzi kulikoni. Kwa sababu wanajua bila kusababisha fujo au umwagaji wa damu hawatakuwa maarufu so ili yote yatimie lazima damu imwagike au fujo angalau jina lao litajwe ndio maana kwao hawaendi watenda huko kwingine. kweli hiki chama ni janga lingine la kitaifa mmi sina chama na nailaumu serikali kwa uzembe huu ulioufanya mpaka hali imekuwa hivi. Kama itaendelea kulala basi 2015 itabidi wote tuhamie Kilimanjaro maana naona ndiko kutakako baki salama kufuatia tambiko na masharti ya mganga.
 
Wewe ndiyo Msaliti namba moja, kwanza umevunja Sheria za Nchi yetu kwa kuiita Tanganyika wakati hiyo Nchi haipo kuna Nchi moja tu, Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pili wewe ni Muongo mkubwa, pamoja na changamoto nyingi tulizonazo lkn bado tumejitahidi na tumepiga hatua kubwa tu mbele ukilinganisha na tulikotoka, Mifano hai ipo mingi kuna watu nawajua ambao wametokea Familia maskini kabisa lkn wameweza kusoma mpaka Chuo Kikuu na sasa wamepata kazi na wameondokana na Umaskini, si ajabu hata wewe ukawa mmojawapo!

Idadi ya Wamama wanaozalia Hospitalini imeongezeka kwa maana nyingi vifo vya mama na mtoto vimepungua, vijana wengi tu wanapata kazi wana maisha mazuri ingawaje bado kazi ni kubwa mbele, lkn tunakwenda vizuri!

Hivyo, Acha Uongo na ni najua kwa uhakika wewe hauko Hospitalini na wala haujaumizwa, ila uko hapa kuwakebehi wale waliokufa na kuumizwa kwa manufaa yako binafsi, wewe ndiyo moja ya wachochezi wakubwa mnaokaidi Sheria za Nchi kwa kwenda kinyume na Matakwa ya Serikali (Halali), Acha uchochezi waache marehemu wa watu wapuumzike kwa Amani na usijali zamu yako kwenda Hospitalini itafika tu!

Tunaomba ututhibitishie kwamba hayuko hospitali,vinginevyo utakua unahalalisha hisia zako.Lakini hata hizo huduma serikali imeziweka je zina ubora,jiulize ni kiongozi gani anatibiwa hapa nyumbani kama si nje.Angalia Afrika Kusini Mzee Mandela anatibiwa nyumbani na wamepata Political independence 1994 wakati Tanganyika ilipata 1961. Ndo hoja ya mleta mada hapa.
 
ifweero, unajibu hoja moja kwa post nne?? Kila post shilingi ngapi? Utajiri hautafutwi hivyo

Mkuu usijibizane naye huyo, kazi ya kutumwa ndo walivyo. Anasiku 7 jamvini, anapost kila dakika, hiyo ni team Lumumba! 2015 ni mbali sana something gonna happen hapa kati kati! Mungu ana makusudi yake
 
Kuna kiongozi yeyote wa cdm kaja kukuona au unakufa peke yako?akili za kushikiwa ongeza na zako mpuuzi wewe,wanao watakufa kwa kujifanya mwanaharakati
 
Tunaomba ututhibitishie kwamba hayuko hospitali,vinginevyo utakua unahalalisha hisia zako.Lakini hata hizo huduma serikali imeziweka je zina ubora,jiulize ni kiongozi gani anatibiwa hapa nyumbani kama si nje.Angalia Afrika Kusini Mzee Mandela anatibiwa nyumbani na wamepata Political independence 1994 wakati Tanganyika ilipata 1961. Ndo hoja ya mleta mada hapa.

Kama hiyo ndiyo hoja yake nakubaliana naye kwa kiasi fulani, basi angekuja vingine, lkn pia hatoi ufumbuzi na wala kuilaumu CCM pekee yao kwamba ndio wamesababisha yote haya ni kujidanganya, unatolea Mfano wa Afrika Kusini kwamba Bw.Mandela anatibiwa nchini mwao hilo ni sawa lkn Afrika Kusini imejengwa na Wazungu, na sio Ngedere, hata leo hii nina uhakika kwamba wanaomtibu Bw.Mandela ni Wazungu kuanzia Daktari wake wa kibinafsi mpaka wa Hospitali kubwa!

Na kama hoja yako ni kwamba CCM ndio wametufikisha hapa pekee yao, mbona hao wanaoitwa watetea wanyonge Wapinzani hasa CHADEMA pia wanatumia fedha zetu kwenda kutibiwa nje? Mbona Kiongozi wa Upinzani bado anatumia Gari la Serikali lililonunuliwa kidhuluma na kifisadi?

Kwa nini Wabunge wa Upinzani wanakubali kupokea Posho ambayo sio fedha halali bali ni ya dhuluma kwa maana hawaistahiri na haikatwi kodi?
Kama wao kweli wanajali kwa nini sijawahi kusikia wakileta hoja Bungeni kuhusu wao kukatwa Kodi kama Watz wanyonge wengine ambao wanapata msahahara wa laki 2 kwa mwezi na wanakatwa Kodi?

Kwa nini wabunge wa Upinzani kama kweli wao wanatetea wanyonge kama wanavyosema na kwamba wako tofauti na CCM, mbona hawaajiri Madereva na wakati wanalipwa Pesa kwa ajili ya kuajili Madereva na kutoa Ajira? Je hiyo pesa inaenda wapi? Kwa nini hawairudishi? Je huo sio Wizi na Ufisadi?

Kama wao wana uchungu na wako tofauti na CCM kwa nini, wanalipwa Fedha za kukaa jimboni lkn wote wako Dar, na ushahidi ninao Bw.Tundu Lisu ni jirani yangu na siku zote yuko Dar, lkn sio Jimboni kwake ingawaje analipwa fedha kwa ajili ya kuwepo Jimboni, sasa hiyo tofauti yao iko wapi?
Kama wao ni watetezi wa wanyonge kama wanavyodai waanzie hapo kwanza nione ndio niamini, asije kuniambia eti tukiwatoa CCM ndio tutafanya hiki na kile, kuna mengi ambayo wanaweza kufanya ambayo yako ndani ya uwezo wao kwa 100% kama hayo niliyoyataja!
 
Back
Top Bottom