Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
mhm mashangingi ndio wananipa stimu basi bora tuachane tuu maana kuna faida gani kuwa na mke ambaye hana mvuto kwako wakukufanya atake kumgegeda
Umeona eeeh...ukishamfanya partner wako mwenzi wa maisha then hiyo inatakiwa ijumuishe muonekano wake kuku-vibrate kila umuonapo,na ukimshika na kumpapasa alegee..ukiona hashtuki then ujue kuna sehem unakosea kwake na kama bado una hamu nae kaeni mli-discuss.....
Wewe ni mwanamume mwenye mke mzuri na mwenye kujiheshimu sana,...kwa bahati mbaya wewe ni mshamba usiyejua mautundu ya 6by 6 na unapenda kuhonga mal.ya ili upewe mzigo, na umefanya mchezo huu kwa muda mrefu bila mkeo kugundua,... Na kibaya zaidi jogoo akawa anapanda mtungi kwa shangingi lkn kwa mkeo hapandi mtungi,Mke mwaminifu akakuvmilia akijua mumewe unaumwa na kuhangaika kukutaftia dawa,.. Kwa bahati mbaya mkeo akakufumania na hy shangingi kunako 6 by 6 na kukwambia nanukuu "MUME WANGU NAKUPENDA SANA NA NIMEKUVMILIA KWA MUDA MREFU JOGOO WAKO ALIPOSHINDWA KUPANDA MTUNGI,nilijua unaumwa kumbe wamekuharibu,nina hamu sana ya kuto.m.a na siwezi kutafuta mwanamume nikiwa bd mkeo,Nakuomba unipe talaka nikatafute mwanaume atakayeweza kunit.mb na kumaliza hamu yangu"Je UTATOA TALAKA AU HUTATOA?

duuuu,talaka sitoi!acha iwe mbwai ila cwezi kumuacha wfe akaliwe na m2 mwingine!