Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
habari zenu wanajamii forum
Leo ninakuja ana chemsha bongo kidogo kwa kuwa nimeona imekaa kimapenzi,sio mbaya nikaileta hapa
Mpo kwenye VITZ au SPACIO yako wewe mwanaume,mke wako na mama mkwe wako(mama yake mke wako)mpo safarini mara ghafla HUMMER AU LAMBOGHINI linawa overtake kwa mlio mzito,mara mama mkwe akaropoka ghafla...MWANAUME HUYO ANAPITA kama ww ni kidume utafanyaje jamani?????????????
you too mzuri wangu!!!!!
vipi kazi lkn??
niko poa kama chuma cha reli mine........Kazi safi kabisa, naona tunapishana tu, uko poa??
niko poa kama chuma cha reli mine........
salam kwa wote bestie.............
wako poa, kbs...........Vijana wanasemaje??
wako poa, kbs...........
ivi nimekuza atii
Hongera sana aisee, na shule tayari??
wee mkubwa yuko chuo sasa ujue??
jamani lito bro samehe mimi mara 70
life ndo imenibana sana sio kusudi papito