Kama ni tabia nitamwazima zakwangu

Kwa ushauri huu una dhawabu yako mbinguni.you just wait
 
shida inakuja hapa nyege zikishaisha kabisa badaye najuta Je nimeoa mwanamke au talumbeta, sijui hizi ndude zina kitu gani

Nyege zikizidi hadi Mbuzi unamuona mzuri [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
shida inakuja hapa nyege zikishaisha kabisa badaye najuta Je nimeoa mwanamke au talumbeta, sijui hizi ndude zina kitu gani

Nyege zikizidi hadi Mbuzi unamuona mzuri [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hahahaha
 
Hamna 24 hrs nimehold mkono wako tu
ukitaka kutoka unamtanguliza na kumwambia nikukute kituoni [emoji2] [emoji2]

yani utadhani ulilazimishwa kumchukua kind that kumbe naniliu, zako tuu[emoji3] [emoji3] zimekuponza
 
obviously Mara Y Kwanza inakuwaga rahaa sana Kama hivyo,

kuangalia kifaranga cha KUKU kikikua kikubwa hufanyajwe na mamakee [emoji28] [emoji28]
Inabidi nae awe mtundu wakubadilika badilika....anakua mpya tu
 
Jidanganye tuu mdogo wangu... Safari ya kuishi na mtu msiye ndugu wa damu mnaounganishwa na mapenzi/upendo siyo rahisi kama kuota unapaa... Again jidanganye tuuuuuuu na mwisho utakukumbusha mwanzo.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…