Kama ni kweli Wizi wa kura kupitia NIDA na NEC ulifanyika basi sio wanamtandao

kunowa

Member
Joined
Oct 30, 2024
Posts
49
Reaction score
61
Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha Magufuli, hasa kwenye uchaguzi wa awamu ya pili mwaka 2020. Kufikia mwaka 2025 bado wananchi wengi hawakuwa wamefikiwa na zoezi hili, kwa kuwa lilikuwa linafanyika kwa awamu za maeneo.

Iwapo madai ya Polepole yana ukweli, basi “wait” ndio wahuni namba moja, siyo “wanamtandao” anaowataja. Wao ndio wa kwanza kutumia vibaya mfumo wa NIDA kupindua matokeo, jambo ambalo ushahidi wake upo wazi. Kumbuka, awamu ya Msoga (Kikwete) ndio awamu pekee ambayo ilishuhudia wapinzani wengi zaidi bungeni na Bunge kuwa moto kuliko kipindi chochote. Lakini awamu ya Magufuli na Polepole ndio iliyowaondoa wabunge wote wa upinzani bungeni, kwa kutumia mfumo waliouasisi wa NIDA + NEC + CCM (Polepole).

Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.

Bila shaka, mama anatubu makosa ya awali kwa kuahidi kupitia ilani ya CCM kuleta Katiba Mpya. Hiyo ndiyo itakuwa toba ya kweli kwa mama na kwa CCM. Hakuna mwingine anayeweza kuleta Katiba Mpya sasa kwa kuwatenga CCM.

Kwa mantiki hiyo, Polepole apuuzwe tu. Ana masilahi binafsi, siyo ya taifa.

=========
UHALISIA:
Screenshot 2025-08-22 at 08.49.59.png
 
Umeandika ujingaujinga.Hao wanamtandao wako washenzi Kwani wamekufa au wameacha kuibiruza nchi?Kalae paka wewe!
 
Mimi NIDA nilijiandikisha mwaka 2012 nikiwa chang'ombe Temeke mkoa wa Dar es salaam.

Sio kweli kwamba uandikishaji ulianza 2015.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.
Hapa inabidi ujibu swali la Kwanini wanamfunga Tundu Lissu Jela? Kwanini hawataki kufanya marekebisho ya Katiba kwa kigezo cha Muda?

Ilibidi Tundu Lissu aachiwe huru.
Katiba irekebishwe.
Mfumo mzima wa Tume ya Uchaguzi urekebishwe.
Uchaguzi ufuate.

Kisha baada ya hapo utasimulia Magoli.
 
Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha Magufuli, hasa kwenye uchaguzi wa awamu ya pili mwaka 2020. Kufikia mwaka 2025 bado wananchi wengi hawakuwa wamefikiwa na zoezi hili, kwa kuwa lilikuwa linafanyika kwa awamu za maeneo.

Iwapo madai ya Polepole yana ukweli, basi “wait” ndio wahuni namba moja, siyo “wanamtandao” anaowataja. Wao ndio wa kwanza kutumia vibaya mfumo wa NIDA kupindua matokeo, jambo ambalo ushahidi wake upo wazi. Kumbuka, awamu ya Msoga (Kikwete) ndio awamu pekee ambayo ilishuhudia wapinzani wengi zaidi bungeni na Bunge kuwa moto kuliko kipindi chochote. Lakini awamu ya Magufuli na Polepole ndio iliyowaondoa wabunge wote wa upinzani bungeni, kwa kutumia mfumo waliouasisi wa NIDA + NEC + CCM (Polepole).

Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.

Bila shaka, mama anatubu makosa ya awali kwa kuahidi kupitia ilani ya CCM kuleta Katiba Mpya. Hiyo ndiyo itakuwa toba ya kweli kwa mama na kwa CCM. Hakuna mwingine anayeweza kuleta Katiba Mpya sasa kwa kuwatenga CCM.

Kwa mantiki hiyo, Polepole apuuzwe tu. Ana masilahi binafsi, siyo ya taifa.
Ukitaka kuja kupotosha ukweli jitahidi kujua ukweli. Unajua ww ni kilaza ila unataka kubishana na ukweli. Ingia kwenye tovuti ya tume ujue lini BVR ilianza.
 
Ukiambiwa neno WANAMTANDAO unaelewa nini?? AU unadhani kuwa mwanamtandao ni mpaka uwe madarakani? Kumbuka " rimoti siyo TV, lakini unapobonyeza kitufe chochote kwenye rimoti, TV inaitikia..!!
 
Ccm wanaibaje kura kupitia NIDA? mwenye uelewa atueleweshe
 
Kipindi Polepole anaeshule ya Uongozi kwa waliofatilia vzr aliwahi tamka maneno yanaashiria kuhitaji Urais 2030.

Nahisi hichi ni moja ya vitu vina mtafuna baada yakuona hakuna dalili yeyote yayey kuwa kama alivyotaraji
 
Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha Magufuli, hasa kwenye uchaguzi wa awamu ya pili mwaka 2020. Kufikia mwaka 2025 bado wananchi wengi hawakuwa wamefikiwa na zoezi hili, kwa kuwa lilikuwa linafanyika kwa awamu za maeneo.

Iwapo madai ya Polepole yana ukweli, basi “wait” ndio wahuni namba moja, siyo “wanamtandao” anaowataja. Wao ndio wa kwanza kutumia vibaya mfumo wa NIDA kupindua matokeo, jambo ambalo ushahidi wake upo wazi. Kumbuka, awamu ya Msoga (Kikwete) ndio awamu pekee ambayo ilishuhudia wapinzani wengi zaidi bungeni na Bunge kuwa moto kuliko kipindi chochote. Lakini awamu ya Magufuli na Polepole ndio iliyowaondoa wabunge wote wa upinzani bungeni, kwa kutumia mfumo waliouasisi wa NIDA + NEC + CCM (Polepole).

Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.

Bila shaka, mama anatubu makosa ya awali kwa kuahidi kupitia ilani ya CCM kuleta Katiba Mpya. Hiyo ndiyo itakuwa toba ya kweli kwa mama na kwa CCM. Hakuna mwingine anayeweza kuleta Katiba Mpya sasa kwa kuwatenga CCM.

Kwa mantiki hiyo, Polepole apuuzwe tu. Ana masilahi binafsi, siyo ya taifa.

Maswali yako mazuri. Ila hapo pa Mama anafanya mabadiliko .... ha ha ha ha... hayo mabadiliko ya jina? Kutoka NEC kwenga INEC?
 
Tusiache kuomba NOVENA inafanya kazi ,tuendelee mpaka October 28 Mungu atatenda kwa wanaoamini,wasioamini asili iliyopo kwenye nguvu ya dunia itasikia na itatenda.
 
Ccm wanaibaje kura kupitia NIDA? mwenye uelewa atueleweshe
Kuna watu ni wazito sana.

Unadhani Lissu angepiga kampeni mwaka 2025 yeye na Samia unadhani Samia angemzidi kura Lissu?

Samia tayari ana kura za mchongo Justification ni kumshikilia mpinzani wake na wagombea wengine wawe dhaifu sana
 
Back
Top Bottom