Kama ni kweli Masanja, huu ndiyo mtihani mkubwa unahitaji kuushinda


Hizi stori za mtu kumpenda mke wa mtu mpaka kuamua kujiua kwaajili yake sioni zikiniingia akilini.

Kama ni kweli hili jambo limetokea, ni muhimu jeshi la Polisi likafanya uchunguzi wa kina.

Pengine hili sokomoko la sms za mke wa mtu limetumika kuficha kitu.

Binafsi sijawahi kusikia mtu akimpenda mke wa mtu hadi kujitoa uhai kwasababu yake huku akijua kabisa ni kosa la kimaadili, tena mke wa mchungaji na yeye alikuwa akitumika kwa kazi ya Mungu.

Kama ingelikuwa amejiua kisa mchungaji kutembea na mke wake hapo ningeweza kuelewa japo kidogo kwamba amejiua kukimbia aibu.

Hizo sms ukizisoma wala hazionyeshi kama kuna uzito wa kupelekea yeye kujiua, wala hazioneshi labda Mwenye mke wake amejua kwamba anatembea na mkewe.

Au niambieni nyie ndugu zangu kama hii inawaingia akilini.

Hapana Jeshi la Polisi na familia ya dogo wafatilie kuna jambo halipo sawa. Tunao makachero wabobezi ambao watafungua hilo box la siri. Ule ujumbe hau make sense kufanya mtu ajiue! Impossible ...
 
Hapana Jeshi la Polisi na familia ya dogo wafatilie kuna jambo halipo sawa. Tunao makachero wabobezi ambao watafungua hilo box la siri. Ule ujumbe hau make sense kufanya mtu ajiue! Impossible ...
Kabisa mkuu, hili jambo linahitaji uchunguzi, isitoshe tu kukubali mtu amejiua. Uchunguzi ufanywe kubaini kama ni kweli amejiua au ameuawa.
 
Huyu jamaa ndio kamuoa Dada yetu pale Usangi Kilimanjaro.Huyu Dada ndo kahitimu chuo.Mapenzi nyoko sana
FB_IMG_1664793336610.jpg
 
Nimesikia taarifa za kifo cha katibu wa kanisa lako aliyejiua kwa sababu ya kukatishwa katika penzi zito alilopata kutoka kwa mkeo.

Ni huzuni kubwa baada ya ujumbe kama ule kusambazwa maana unafadhaisha sana.

Pole sana Masanja kwani ulikuwa na nafasi ya kufanya mambo ya usaliti zaidi kuliko mkeo lakini ulimpa thamani huyo mama ambayo hakuijali.

Hata hivyo nakusihi sana kwamba uwe na kifua kipana maana ninaona usipokuwa imara, utayumba sana kwenye maisha.

Ni muda wa kuwa karibu na Mungu na kuonesha msamaha kwa neema ya Mungu.

Pole sana mkuu
Kuna kituhakiko Sawa naamini hivyo haya makanisa ya kuzuka zuka Yana mambo Yake ya ajabu ajabu Yani MTU ajiue simple tu hivyo siamini kbsa police wakiwa Makini watajua jambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom