'Kama ni kweli' haya ni matokeo ya kutoonyesha bunge live

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,863
Mi bado sijakubali kwamba alilewa bungeni, naamini ni mkanda uloandaliwa ili aondoke kimya kimya ili kukwepesha ile kashfa ya Lugumi. Nadhani ni mchezo wa wale jamaa wa kitengo NYETI kuhakikisha anaondoka bila KELELE.

Kama si hivo basi nadhani ni madhara ya kutoonyesha bunge live. Jamaa aliupuyanga mvinyo akiamini hataonekana maana bunge limefunikwa blanketi la serikali. Ndiyo! hamjasikia siku hizi wabunge wengine wanaingia bila kuvaa viatu? nasikia wale wapiga vigelegele wanaingia bila kupiga 'mekapu' siku hizi.
 
Back
Top Bottom