Kwani nini maana ya "ZERO"? Kielimu zero maana yake " umepuliza katika masomo yako{Full(F)Form(F)Four(F)For(F)Fighting(F)
For(F)Food(F)For(F)Four(F)years}.Hakuna mwanafunzi awezaye kusajiliwa kama mtahiniwa kisha usajili wake ukose kumbukumbu ya kile alichokipata,ikiwa walioshindwa kufanya mtihani huoneshwa kwa maneno "Absent", kwa nini mtu aliyetaga kumbukumbu zake zisionekane?
Kuwa na matokeo ya mtu si lazima kiwe cheti,hata ukiwa na printed document halisi iliyothibitishwa na taasisi husika ikionesha kile ulichokipata katika Mitihani yako nayo ni matokeo.Askofu Gwajima ni kiongozi wa kiroho,ana kundi analoliongoza,waumini wake wengine ni watumishi katika wizara na taasisi mbalimbali za serikali ikiwemo NECTA,ili kumtetea Mchungaji wao hawashindwi kutumia nafasi zao kuprint matokeo ya bwana Bashite na kumpelekea.Anazungumza anachokiamini,kama wewe una ukweli unaouamini utoe ili tumpuuze Mchungaji.