Kama nchi tumepitia mengi sana

Lakn tukiweka pembeni zile sifa za kijinga za kijana. Jamaa alikuwa anapiga kazi.. Mm naona bora hata ya makonda kuliko huyu wasasa
 
Vijana mkipewa madaraka mnatumika kuumiza wenzenu tena bila woga mnataka kuwatwanga hadi wastaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…