DAR: RC Makonda asema kibali cha kupiga muziki mwisho saa 6 usiku, Ruge azungumza

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
Habari Wadau,

Leo Nimepata Msikia Mkuu Wangu Wa Mkoa Poul Makonda Akisema Kuwa Kibari Cha Kupiga Mziki Mwisho Saa 6 Usiku Kama Unataka Kupiga Mziki Zaid Ya Huo Muda Watu Waende Club

Kubwa Hapa Madai Yake Anasema Watu Wa Pembezoni Mwa Maeneo Husika Wana Kerwa Na Kelele Za Miziki Hiyo

Ila Club Kuna Sound Proof

Ameyasema Hayo Leo Akiwa Katika Studio Za E FM Na TV E

Sasa Hapa Si Kuwapa Shida Clouds Na Tamasha Lao La Fiesta Jaman.....!!!!

Mana Siku Za Nyuma Nilipata Kusikia Bwana Ruge Kuwa Tamasha Hilo Litaisha Alfrajili

Naona Hapa Kama Wanashindana Ivi Ruge Anatakaa Kukaza Msuli Kwa Mkuu Wake Wa Mkoa iv

Ebu Ngoja Nione Hii Movie Itaishia Wapi!
------------

Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amezungumzia agizo hili na kusema wamejiandaa na watatii mamlaka japo itawaathiri baadhi ya wasanii kwa sababu watalazimika kuwapunguza kutokana na ufinyu wa muda..

Hata hivyo Ruge amesema jitihada za kuwasiliana na Mkuu wa Mkoa zinaendelea ili waweze kupata kibali cha kufanya show mpaka asubuhi..

Ruge aache kutunisha msuli kiasi ivo Hekima itumike kulimaliza hio conflict yao naona mkuu hakufua dafu chongoliani uko, Ngoja tuvute kigoda na popcorn
Uyu Jamaa Anavyopenda Sifa Ah ah ah ah ah My Friend Kama Ruge Akiendelea Na Kutunisha Msuli Siku Iyo Jamaa Atachukua Maskar Wengi Kwenda Kufanya Yao Pale Leaders.....
 
Habar Wadau

Leo Nimepata Msikia Mkuu Wangu Wa Mkoa Poul Makonda Akisema Kuwa Kibari Cha Kupiga Mziki Mwisho Saa 6 Usiku Kama Unataka Kupiga Mziki Zaid Ya Huo Muda Watu Waende Club

Kubwa Hapa Madai Yake Anasema Watu Wa Pembezoni Mwa Maeneo Husika Wana Kerwa Na Kelele Za Miziki Hiyo

Ila Club Kuna Sound Proof

Ameyasema Hayo Leo Akiwa Katika Studio Za E FM Na TV E

Sasa Hapa Si Kuwapa Shida Clouds Na Tamasha Lao La Fiesta Jaman.....!!!!

Mana Siku Za Nyuma Nilipata Kusikia Bwana Ruge Kuwa Tamasha Hilo Litaisha Alfrajili

Naona Hapa Kama Wanashindana Ivi Ruge Anatakaa Kukaza Msuli Kwa Mkuu Wake Wa Mkoa iv

Ebu Ngoja Nione Hii Movie Itaishia Wap.....!!

kwa wale mliosoma Uchumi, huo mziki kwangu mimi ni externalities
 
mimi sijui itakuwaje........tujipe muda...........
IMG-20171116-WA0014.jpg
 
Hivi mwaka jana ilikuwaje??? au hii ni sheria mpya ya mwaka huu?? tatizo huyu bwana mdogo anaendekeza bifu badala ya kuzingatia utendaji wake....anyway mwisho wake ataumbuka tu. Kwa akili za chekechea utakuta naye ataanzisha event ya kijamii siku hiyo, ataitangaza mno.
 
Back
Top Bottom