Duh!
Babu hivi huwa huchoki kubishania hayo mambo?
Kwa sababu naona kama vile huwa unabishana na watu wasiojua tofauti kati ya imani na ujuzi!
Kama unaamini akili haionekani kwa macho unashindwaje mengine yasiyoonekana kwa macho zaidi ya akili?kwa kupitia hilo swali haimanishi kwamba mungu yupo kwasaba ww umeuliza swali mtu anakili au ubongo?
hapo maana yake ni kwamba ubongo upo lakini akili hainekani kwa macho ila kwa vitendo.
kama lengo lako la kuuliza hilo swali nikutaka kutuaminsha kwamba mungu yupo kwasababu ya akili haiwezi kuonekana kwa macho. na inakuwaje huyo mungu tumeshindwa kumuona kimwili na vitendo?
Huwezi kuona.Tupo katika level tofauti za uelewa.Suala ya square root limekujaje kwenye swali la uwepo gari kwenye barabara?
Huwezi abadani kuwa Mungu wewe, kama unataka kujua hilo kubali nikufunze ilikuwaje mpaka ikaja kuwa hivi. Upo tayari?Unanifananisha mimi na mungu wako? Mimi ndiye mungu wako mara hii?
Hujajibu swali langu.
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Sasa kama siwezi kuwa mungu, mbona unanitolea mfano mimi habari ya swali la mungu wako?Huwezi abadani kuwa Mungu wewe, kama unataka kujua hilo kubali nikufunze ilikuwaje mpaka ikaja kuwa hivi. Upo tayari?
Nishakuelewa kuwa unaamini kwa mengi yasiyoonekana, ila una chuki binafsi kwa Mungu, unahitaji kukalishwa chini kwa muda sana ili ujue tulipo na tunapoendaHuwezi kuona.Tupo katika level tofauti za uelewa.
Umeniuliza ninawezaje kujua jambo moja ikiwa sijui hata akili iko wapi?
Nikakuambia, mtu anaweza kujua jambo moja (square root ya mbili si kumi) bila hata kuijua hiyo square root ya mbili yenyewe ni ipi.
Si lazima kujua square root ya mbili ni nini (si lazima kujua akili iko wapi) ili kujua kwamba square root ya mbili si kumi (ili kujua kwamba mungu hayupo, barabara iko wapi, Ilala iko wapi kutoka Kariakoo, ubongo uko wapi, gari liko wapi etc).
Ushaelewa au unahitaji somo la ziada?
Wapi nimesema sikubali yasiyoonekana?Nishakuelewa kuwa unaamini kwa mengi yasiyoonekana, ila una chuki binafsi kwa Mungu, unahitaji kukalishwa chini kwa muda sana ili ujue tulipo na tunapoenda
Ulijuaje kama mimi nilitaka kukufanya wewe ndo mfano instead of my god?Sasa kama siwezi kuwa mungu, mbona unanitolea mfano mimi habari ya swali la mungu wako?
Kwa sababu umeniuliza swali la mfano wa mimi kutoa msaada bila kuombwa katika mada ya kumhusu mungu.Ulijuaje kama mimi nilitaka kukufanya wewe ndo mfano instead of my god?
Siyo hukubali wewe unaamini kwa mengine yasiyoonekana ila una chuki binafsi na Mungu baba, unakimbiakimbia wapi tenaWapi nimesema sikubali yasiyoonekana?
Hivi unaelewa ninachopinga hapa?
Wapi nimesema napinga kuamini?Siyo hukubali wewe unaamini kwa mengine yasiyoonekana ila una chuki binafsi na Mungu baba, unakimbiakimbia wapi tena
hilo mm ninalijua sio kwamba naamini.Kama unaamini akili haionekani kwa macho unashindwaje mengine yasiyoonekana kwa macho zaidi ya akili?
Kama kuna vitu visivyoonekana kwa macho, hilo linathibitishaje kwamba mungu yupo?Kama unaamini akili haionekani kwa macho unashindwaje mengine yasiyoonekana kwa macho zaidi ya akili?
Amini yupo kiranga kishanipa Nguvu mimi na nimeweza kuwa na furaha kuu sasa, mfuate Mungu wangu nawe upate faraja kuu, Hey kiranga Kesho ngoja nibariki ndoa..Kama kuna vitu visivyoonekana kwa macho, hilo linathibitishaje kwamba mungu yupo?
Naamini jua litachomoza kesho. Sijaliona kwa macho, lakini naamini litachomoza. Limefanya hivyo maisha yangu yote.
Najua linaweza kupigwa supernovae likapasuka dakika ijayo na kesho lisichomoze, lakini najua nafasi za hili kutokea ni ndogo sana.
Hivyo napanga kazi zangu za kesho kwa kuamini jua litachomoza, ingawa sijaliona kwa macho likichomoza hiyo kesho.
Hii ni imani. Hii si imani mbaya. Ina msingi katika mantiki na observation. Haina contradiction.
Huyo mungu wenu hana mantiki, habari zake zinajipinga kama duara lililo pembetatu.
Kwa nini niamini yupo?
Amini yupo kiranga kishanipa Nguvu mimi na nimeweza kuwa na furaha kuu sasa, mfuate Mungu wangu nawe upate faraja kuu, Hey kiranga Kesho ngoja nibariki ndoa..
Nasema hivi sababu Mungu si hadidhi na nimemwona physical broUnaweza kuthibitisha kwamba yupo kwa njia ambayo itaweza kueleweka kimantiki?
Sitaki mahubiri ya kunitaka niamini kwa sababu kakupa nguvu na furaha kuu.
Sina hakika kama unatumia logic.
Unajuaje hiyo nguvu na furaha kuu kakupa mungu na hujaipata kwingine kokote?
Wewe siye uliyesema nisile kona hapa? Mbona wewe ndiye unakuwa wa kwanza kuomba poo?
Nitajuaje kwamba ulivyomwona hukuwa na maruweruwe au ugonjwa wa akili na yupo kweli?Nasema hivi sababu Mungu si hadidhi na nimemwona physical bro
Yupo kama huamini kubali kufuata imani yangu uhakikishe mwenyeweNitajuaje kwamba ulivyomwona hukuwa na maruweruwe au ugonjwa wa akili na yupo kweli?
Kwa nini nikubali kufuata imani yako wakati umeshindwa kuthibitisha kwamba yupo?Yupo kama huamini kubali kufuata imani yangu uhakikishe mwenyewe
Mwenzio huyo yeye anasema kuna imani sahihi na potofu,na hakuna anayeweza kuishi bila imani wala hapingi kuwepo kwa mungu kwa sababu ni imani.Duh!
Babu hivi huwa huchoki kubishania hayo mambo?
Kwa sababu naona kama vile huwa unabishana na watu wasiojua tofauti kati ya imani na ujuzi!