mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,049
- 3,380
Hivi kama ni mazingira tu ni kwann isitoke ng'ombe akawa na akili za binaadam kwenye hayo mazingira tofauti?
Musioamini uwepo wa Mungu mumepotea, acheni e mizaha ya namna hii.
Viburi vyenu na pumzi,uzima muliojaaliwa ndio mnaandika mambo ya utani kwa Mungu.
Tuna mifano mingi na miujiza lukuki wala haijapatiwa majibu mpk Leo.
mkuu ni bora ukatoa maelezo ya kutosha ingefaa zaid, kwa mfano unapotaja tuelewe oksijen,carbon. na utoe maelezo hizo hewa chanzo chake ni kip?
Hamna scientific theory iliyojitosheleza kuelezea "origin of life" zote hazijafanikiwa. Mambo ya Mungu HAYACHUNGUZIKI.
Hatukulaumu kwa sababu ndio mwisho wa uelewa wako.
kwa hiyo kama haijapatiwa majibu maana yake ni nini!?
Naomba unipe theory iliyofanikiwa kuelezea origin of life, ili nione uelewa wangu ulipoishia
Mbona hizo hizo nyuzi unazozingumzia zina majibu ya maswali yako na sina maana kwamba yanajitosheleza ila naona kama unataka kurudia mjadala uleule. Nyuzi za aina hiyo ziko nyingi sana humu na majibu ni yale yale.
Angalia hizi nyuzi.
- Kweli Mungu Muweza wa Yote
- Ignorant Atheists
- Atheists have no reason to fear punishment
- Atheism Debunked With (By) Science and Logic
- Against the Myth of Satan
- Ukweli Kuhusu Mungu
- God Not Needed for Creation
- God vs Satan / Creation
Hizi zote na nyingine nyingi unaweza kutafuta mwenyewe humu ukizisoma kwa makini utagundua hoja ni zilezile kutoka kila upande na pia utagundua kwamba kuna watu hawana mpango wa kujifunza ziaid ya kubisha tu ili waonekane wana akili sana hususan wale wanaojiita atheists! Kifupi wanadhani wana akili sana kuliko watu wanaoamini katika Mungu.
Kwa nini unataka kuzuia mjadala katika forum inayojivunia uhuru wa kujieleza?
Katika hizo thread zote ulizolist, kuna hata moja imethibitisha kuwapo kwa mungu?
Kwani wewe akili yako inakutuma useme
nini katika hili? Achana na mawazo ya hao
wengine maana hata wewe unaweza kutengeneza
theory yako maana ua a human being kama wao!
Are you serious??!! Ninawezaje kuzuia mjadala?!Kwa nini unataka kuzuia mjadala katika forum inayojivunia uhuru wa kujieleza?
Katika hizo thread zote ulizolist, kuna hata moja imethibitisha kuwapo kwa mungu?
Unaniuliza alili yangu inanituma niseme nini wakati nilichosema umeninukuu, unajua kusoma?
Nimekuuliza swali hujalijibu.
Katika threads zote hizo, kina hata moja iliyothibitisha kuwepo kwa mungu?
Daa ubinadamu kazi, usiendeshwe na hoja za watu
Sema wewe umetokea wapi? Real u agree kuwa hakuna Mungu?
hilo ndo la msingi other wise unachezeshwa ngoma ya mawazo ya
wengine!
Are you serious??!! Ninawezaje kuzuia mjadala?!
Nitaminya vipi uhuru? Wewe ndiye unayetaka kuminya sasa kwa sababu tu hujapenda mawazo yangu! Halafu kama ningekuwa na uwezo huo wewe ungekuwa umeandika hii comment na nyingine zilizokuja baada ya ile comment yangu?!Lwa kuminya uhuru wa mijadala hapa kimawazo, kea kuwaambia watu mjadala huu haufai kuendelea kwani ushajadiliwa hapa na pale.
It's mental, fundamental.