Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

HIVI INAWEZEKANA VP KUSEMA KABISA KUWA KITU FULANI HAKIPO KWA KUJIAMINI(sio una mashaka) HALAFU USIWE NA CHA KUTHIBITISHA KUTOKUWEPO KWA HICHO KITU?
 
Hizi sio zama za kuuliza uwepo wa Yehova Mungu ni zama za kujiuliza kama umeokoka!
 

Hizi sio zama za kuuliza uwepo wa Yehova Mungu ni zama za kujiuliza kama umeokoka!
 
Kisichokuwepo hakithibitishiki!

Uhakika wa kuwa hicho kitu hakipo ndiyo uthibitisho wenyewe,maana bila kuwa na uhakika huwezi kusema kuwa kitu fulani hakipo. Labda uwe unatumia hisia tu,kwahiyo kile kilichokufanya hadi useme kitu fulani hakipo ndiyo uthibitisho wako.
Sasa ukisema huwezi kuthibitisha basi maana yake huna sababu zilizokufanya useme hicho kitu hakipo.
 
Binadamu wa kwanza ndiye aliyemuumba mungu kichwani mwake! Hata wewe ukijenga dhana kwamba jiwe linaweza kukusaidia basi litakusaidia. Kwa hiyo mungu ni kitu chochote unachokiamini chenye nguvu ya kukusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…