Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Acha siasa basi we mwenye uhakika na unachokisema thibitisha huo uwepo wa huyo Mungu.

Baada ya kuweza kusoma nilichokiandika sasa anza kusoma tena ili uwelewe nilichokiandika.
 
Kwanini huyu mungu hajidhihirishi kwetu mbali kwa watu kadhaa walioishi miaka maelfu iliyopita? kama mungu yupo mbona anakubali watoto kuwa mayatima middle east na hata afrika ambako watu wengi wamchao mungu wanaishi? If god is there then he has failed humanity by not destroying '' Satan'' who happens to be his immediate competitor.
 

Galileo ali prove theory ya kuwa dunia sio Flat na ni sphere Kipindi hicho alipingwa sana na Kanisa la Roma na kupelekea kutengwa Lakini investigation zake ziko clearly na ni proved kabisa the Earth is sphere hata waumini wa kileo waverify hilo...Wanasayansi tunamzika mungu kwa kweli na kwa taarifa tu Tech unayoiona sasa haijafikia ata asilimia 10% ya kufikiri ya ubongo wa binadamu je tukufijiri mpaka 50 dunia itakuwa wapi ki technology
 

ikifika 50%- tutakuwa na evidence za kuthibitisha uwepo wa Sir God
 
Science is true,religion a big lie that makes grown men act childish........like believing unicorns exist.
 
Dah sometime bora uamini halafu unachokiamini usikikute. Kuliko kutoamini kabisa.

Mambo ya kubahatisha nayo yalishapitwa na wakati. Utaamini vipi kitu kisicho na uhakika?
 

Kwani wewe umeumbwa au umezaliwa?
 
Mungu yupo kutokana na utofauti wa maarifa kutoka binadamu mmoja hadi mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…