Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadam sio mungu. ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani? uje na lengo la kuelimishana. nawasilisha.
Hivi kitu ukikiumba kitajua kimeumbwa lini, kwa mfano gari linafahamu limetngenezwa lini?, hata sisi wanadamu hatuwezi kujua Mungu katuumba au tumetokea wapi, kwani hata kama tulikuwa tunafahamu lazima tusahau kwani nimiaka mingi sana!
Kiukweli ukiangaliatu hii Dunia lazima uamini kuwa kunakiongozi anaeiongoza na kamwe haiwezi dunia kujifanyia yenyewe vyote hivyo na tena kwa mpangilio uliosawa,
kiukweli ni jambo lakushangaza sana watu kutaka kujua ya huko nyuma ilihalitu mwanadamu huwa haweze kukumbuka matukio yake mwenyewe kipindi alikuwa mtoto , namaanisha kwamba mtu huwa hana uwezo wa kukumbuka matukio ya kuanzia amezaliwa hadi miaka minne wengine hadi miaaka sita.
My take..... Tuaminitu kwani hakuna hasara ya kuamini ila inaweza kuwepo hasara yakutokuamini kama ukijakukuta ni kweli. Mwanadamu kaumbwa huko tusipopakumbuka na ameumbwa na huyo tuliyemsahau na hatuwezi kumuona kwasababu yeye katuumba.
Nimaoni yangutu.
Mimi nina hakika hakuna mtu mwenye jibu sahihi kuhusu uumbaji, kila mtu anajaribu kujibu swali hili kwa kadri anavyofikiri.
amini kuna kuzaliwa na kufa, hakuna ccha ziada, watu watajaribu kusema ukifa unaenda pepon au motoni lakini je wao waliwahi kufa wakaona hayo maeneo? unaweza sema majibu yako kwenye vitabu vya dini lakini hivyo vitabu pia vimeandikwa na binadamu, hata kama vinaeleza kwamba waliandika kwa uwezo wa mungu, je ina maana mungu hataki kuapdate mafundisho yake ili watu wapate imani kama walivyopata wale wa zamani.
Ni kweli kabisa kabisa unavyosema Dr. Aluta, ukiona gari barabarani ujue limeundwa na hata wazee wa busara walishasema "ukiona vyaelea ujue vimeundwa."au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo.
Mkuu hapa Kuna mawawili coz wanasayansi ( philosophes ) wamesema mungu hayupo af wana prove kabisa kwamba Dunia imeanzaje na mtu katoka wapi .. Af pia tena dini inatufundisha kwamba mungu yupo nayo pia ina prove
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadam sio mungu. ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani? uje na lengo la kuelimishana. nawasilisha.
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadam sio mungu. ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani? uje na lengo la kuelimishana. nawasilisha.
Hivi kitu ukikiumba kitajua kimeumbwa lini, kwa mfano gari linafahamu limetngenezwa lini?, hata sisi wanadamu hatuwezi kujua Mungu katuumba au tumetokea wapi, kwani hata kama tulikuwa tunafahamu lazima tusahau kwani nimiaka mingi sana!
Kiukweli ukiangaliatu hii Dunia lazima uamini kuwa kunakiongozi anaeiongoza na kamwe haiwezi dunia kujifanyia yenyewe vyote hivyo na tena kwa mpangilio uliosawa,
kiukweli ni jambo lakushangaza sana watu kutaka kujua ya huko nyuma ilihalitu mwanadamu huwa haweze kukumbuka matukio yake mwenyewe kipindi alikuwa mtoto , namaanisha kwamba mtu huwa hana uwezo wa kukumbuka matukio ya kuanzia amezaliwa hadi miaka minne wengine hadi miaaka sita.
My take..... Tuaminitu kwani hakuna hasara ya kuamini ila inaweza kuwepo hasara yakutokuamini kama ukijakukuta ni kweli. Mwanadamu kaumbwa huko tusipopakumbuka na ameumbwa na huyo tuliyemsahau na hatuwezi kumuona kwasababu yeye katuumba.
Nimaoni yangutu.
Ni kweli kabisa kabisa unavyosema Dr. Aluta, ukiona gari barabarani ujue limeundwa na hata wazee wa busara walishasema "ukiona vyaelea ujue vimeundwa."
Vile vile ukiona kuna Mungu anaelea elea hewani ujue ameundwa. Sasa tuambie, Mungu na yeye kaundwa na nani?
Mimi nina hakika hakuna mtu mwenye jibu sahihi kuhusu uumbaji, kila mtu anajaribu kujibu swali hili kwa kadri anavyofikiri.
amini kuna kuzaliwa na kufa, hakuna ccha ziada, watu watajaribu kusema ukifa unaenda pepon au motoni lakini je wao waliwahi kufa wakaona hayo maeneo? unaweza sema majibu yako kwenye vitabu vya dini lakini hivyo vitabu pia vimeandikwa na binadamu, hata kama vinaeleza kwamba waliandika kwa uwezo wa mungu, je ina maana mungu hataki kuapdate mafundisho yake ili watu wapate imani kama walivyopata wale wa zamani.
kila kitu kina chanzo chake mkuu. mbona gari halikutokea tu.