Leo hiyi dini mbali mbali zinazungumzia pepo na jehanam au mbinguni na motoni,,, kama kweli mfumo huo upo basi hata MUNGU anamawazo ya kibinadamu
Mmejuaje?wakati tunajua mbinguni kuna viumbe ambao wapo maalumu kwa makazi hayo!!
Mfumo wa kimungu ukoje?MUNGU KAWA TUMA MITUME NA MANABII WAJE KUWAKOMBOA BINADAMU, ILI WAENDE MBINGUNI,,, KAMA KWELI ! MUNGU ALISHINDWA VIPI KUTUMIA MFUMO WA KIMUNGU KUMKOMBOA HUYU BINADAMU
🤣🤣 yaani unataka afanye unavyotaka wewe sio?!MFANO, ANGEWEKA TV KUBWA ANGANI, ILI KILA AFANYAYE MABAYA YAONEKANE PALE KWENYE TV NDANI YA MUDA HUO HUO
Ukiwa umeshiba, una viungo vyote, uko huru(hauko jera/mateka) ni halali yako kujidaiMungu wa kwenye biblia ama quran hayupo na hajawahi kuwepo.
Vile ni vitabu tu vya hadithi za kiyahudi lakini kuhusu Mungu, hicho kitu hakipo.
Mungu ambae alimuumba shetani, akashindwa kumuangamiza shetani halafu anataka binadamu mpambane na shetani, hivi hilo linaingia akilini kweli? Kama yeye alimshindwa sisi tutamuwezaje?
Dini zenye asili ya kiyahudi ni za kitapeli, mungu anaezungumziwa hayupo.
shetani ana sifa za kimungu mimi ni binadamu mwenye mwili je unajua nataka sema nini? Kwanza swali langu hamjajibu mmeanza kunitisha mambo gani hayaHata Shetani alipokuwa malaika mkuu alianzaga hivihivi....ufukunyukuufukunyuku siyo mzuri mkuu.Hadhihakiwi ...haya
😂😂😂😂am sorshetani ana sifa za kimungu mimi ni binadamu mwenye mwili je unajua nataka sema nini? Kwanza swali langu hamjajibu mmeanza kunitisha mambo gani haya
Siwezi kurogwaushawahi kurogwa? Jibu liwe {ndio au hapana}
Point of correction: Mungu siyo kiumbe. Alikuwepo. Hakuumbwa. Yeye ndiye alituumba wote na vyote.Leo hiyi dini mbali mbali zinazungumzia pepo na jehanam au mbinguni na motoni,,, kama kweli mfumo huo upo basi hata MUNGU anamawazo ya kibinadamu ambayo yana ukomo kwasababu tunajua MUNGU ni roho na sio mwili ninapozungumzia neno MUNGU namaanisha ni mfumo na sio mtu, ila wengi tunajua MUNGU ni kiumbe kimoja kwahiyo unapaswa ujue MUNGU NI MFUMO wa utawala kama RAISI, MFALME NK, sasa basi inakuwaje huu mfumo wa kimungu utumie njia za kibinadam kumuokoa binadamu? na iweje tena katika maandiko yake yanasema MUNGU kamuumba binadamu kwa kutumia udongo na siku ya mwisho hurudi tena kwenye udongo inakuwaje linakuja suala la binadamu kwenda mbinguni au motoni? wakati tunajua mbinguni kuna viumbe ambao wapo maalumu kwa makazi hayo!! MUNGU KAWA TUMA MITUME NA MANABII WAJE KUWAKOMBOA BINADAMU, ILI WAENDE MBINGUNI,,, KAMA KWELI ! MUNGU ALISHINDWA VIPI KUTUMIA MFUMO WA KIMUNGU KUMKOMBOA HUYU BINADAMU MFANO, ANGEWEKA TV KUBWA ANGANI, ILI KILA AFANYAYE MABAYA YAONEKANE PALE KWENYE TV NDANI YA MUDA HUO HUO
Lini na wapi uliambiwa umwangamize shetani?Mungu wa kwenye biblia ama quran hayupo na hajawahi kuwepo.
Vile ni vitabu tu vya hadithi za kiyahudi lakini kuhusu Mungu, hicho kitu hakipo.
Mungu ambae alimuumba shetani, akashindwa kumuangamiza shetani halafu anataka binadamu mpambane na shetani, hivi hilo linaingia akilini kweli? Kama yeye alimshindwa sisi tutamuwezaje?
Dini zenye asili ya kiyahudi ni za kitapeli, mungu anaezungumziwa hayupo.
Mbona binadamu anasifa za kimungu tatizo ni uelewashetani ana sifa za kimungu mimi ni binadamu mwenye mwili je unajua nataka sema nini? Kwanza swali langu hamjajibu mmeanza kunitisha mambo gani haya
Jibu hoja achana na ngonjera ama mwambie huyo kibwego wako unaemuamini na kumuita Mungu nimesema ni msengerema.Ukiwa umeshiba, una viungo vyote, uko huru(hauko jera/mateka) ni halali yako kujidai
Wapi nimesema tumeambiwa tumuangamize shetani?Lini na wapi uliambiwa umwangamize shetani?
Leta nukuu za hayo maandiko katika kitabu/vitabu ikionyeshaMungu wa kwenye biblia ama quran hayupo na hajawahi kuwepo.
Vile ni vitabu tu vya hadithi za kiyahudi lakini kuhusu Mungu, hicho kitu hakipo.
Mungu ambae alimuumba shetani, akashindwa kumuangamiza shetani halafu anataka binadamu mpambane na shetani, hivi hilo linaingia akilini kweli? Kama yeye alimshindwa sisi tutamuwezaje?
Dini zenye asili ya kiyahudi ni za kitapeli, mungu anaezungumziwa hayupo.
Mungu ambae alimuumba shetani, akashindwa kumuangamiza shetani halafu anataka binadamu mpambane na shetani,
homa ya dunia imekupata....walijiona kuwa wenye hekima walipumbazika😷🤕Leo hiyi dini mbalimbali zinazungumzia pepo na jehanam au mbinguni na motoni, kama kweli mfumo huo upo basi hata MUNGU ana mawazo ya kibinadamu ambayo yana ukomo kwasababu tunajua MUNGU ni roho na sio mwili ninapozungumzia neno MUNGU namaanisha ni mfumo na sio mtu, ila wengi tunajua MUNGU ni kiumbe kimoja kwahiyo unapaswa ujue MUNGU NI MFUMO wa utawala kama RAISI, MFALME NK.
Sasa basi inakuwaje huu mfumo wa kimungu utumie njia za kibinadam kumuokoa binadamu? Na iweje tena katika maandiko yake yanasema MUNGU kamuumba binadamu kwa kutumia udongo na siku ya mwisho hurudi tena kwenye udongo inakuwaje linakuja suala la binadamu kwenda mbinguni au motoni?
Wakati tunajua mbinguni kuna viumbe ambao wapo maalumu kwa makazi hayo!! MUNGU KAWATUMA MITUME NA MANABII WAJE KUWAKOMBOA BINADAMU, ILI WAENDE MBINGUNI, KAMA KWELI! MUNGU ALISHINDWA VIPI KUTUMIA MFUMO WA KIMUNGU KUMKOMBOA HUYU BINADAMU MFANO, ANGEWEKA TV KUBWA ANGANI, ILI KILA AFANYAYE MABAYA YAONEKANE PALE KWENYE TV NDANI YA MUDA HUO HUO.
Kwamba nani alimuumba shetani pia unahitaji maandiko? Ama shetani alijiumba mwenyewe?Leta nukuu za hayo maandiko katika kitabu/vitabu ikionyesha
Leo hiyi dini mbalimbali zinazungumzia pepo na jehanam au mbinguni na motoni, kama kweli mfumo huo upo basi hata MUNGU ana mawazo ya kibinadamu ambayo yana ukomo kwasababu tunajua MUNGU ni roho na sio mwili ninapozungumzia neno MUNGU namaanisha ni mfumo na sio mtu, ila wengi tunajua MUNGU ni kiumbe kimoja kwahiyo unapaswa ujue MUNGU NI MFUMO wa utawala kama RAISI, MFALME NK.