Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kila siku nasoma takwimu kwamba sehemu kubwa ya Watanzania ni vijana, na kwamba hili kundi lina uwezo wa kukiingiza Chama xyz madarakani, lkn jambo moja hivi vyama vinasahahu ni kwamba Vijana huvutiwa na huchagua Vijana, huwezi kutaka kura za vijana huku ukiweka Mgombea kikongwe, haijawahi kufanikiwa popote pale hivyo haiwezi kufanikiwa hata hapa TZ kwetu, ...