kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Habarini za leo wakubwa?
Leo nimeleta kwenu hoja hii ambayo nimekuwa nikijiuliza sana kwa mda mrefu toka vuguvugu la Membe kuonyesha nia ya kumpinga Rais Magufuli.
Je kwanini vijana wa CCM wanatumia muda mwingi na efforts nyingi kusema Membe hana ushawishi kama hana ushawishi kwanini wanateseka nae?
Kama serikali hii imefanya makubwa kiasi cha kupendwa na wananchi kwanini inaogopa na haipendi kukosolewa?
Hayo ni maswali yangu makubwa kwa vijana wa CCM damu damu ambao unakuta hawana Hata ajira wapo kumtukana Membe ambae amewazidi pesa na kila kitu.
Vijana wa CCM serikali yenu imefanya makubwa msimalize damu zenu kumshambulia Membe muacheni kweli tuone kama hana huo umaarufu mnaousema.
KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHA JITEMBEZA AWAMU HII IMEZIDI KUJITEMBEZA WANANCHI TUTAFAKARI USIKUTE HAWAJAFANYA KITU HAWA WAHUNI NDIO MAANA PROPAGANDA ZIMEZIDI.