Kama mbagala vile

Kuna jamaa anaishi Mbagala, anafanya kazi mjini ananiambia mara ya mwisho kupata seat ni mwaka 2010 tangu miaka hiyo hajapata tena na kila siku anakuja mjini
 
Kuna jamaa anaishi Mbagala, anafanya kazi mjini ananiambia mara ya mwisho kupata seat ni mwaka 2010 tangu miaka hiyo hajapata tena na kila siku anakuja mjini
mbagala ukitaka kupata seat unawahi gari kituo cha mbele kabla haijafika zakiem,unapanda unalipa mia mbili halafu yenyewe ikifika mbagala unageuka nayo hushuki,maana huwa ikifika mbagala utashangaa watu hawashuki ila wanaongeza tu wa kusimama,au kama uko ubungo,mwenge au kwingine unaenda mbagala mida ya jioni wahi kituo cha mbele ugeuze na gari wala hupati usumbufu
 
Kwenye hayo madaladala hawaibi kwa kuingiza mikono mfukoni tena, humo wanakaba kabisa.
 
Hadi vigimbi vinaota!, cheki mguu wa huyo bi mdada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…