Kama masihara vile

Kama unajua huna mpango nao wote ya nin uwapotezee muda wao bure usithubutu kua na mtu ambae huna malengo nae yaan wewe ningekua mim n baba ake na hao watoto wa kike wallahi sero ingekuhus shabash!!!
 

unajua dogo watu tumesoma ila hatuoneshi kuwa tunajua kidhungu. izi bangi kazipeleke kulee bandarini na sio hapa.heshim wakubwa wako
 

dahh kikwete ana kazi.
 

what is this ?/???? mie sijaelewa magombe junior nisisidie rafiki
 
Last edited by a moderator:
unaweza kutembea mwanzo wa shamba la mahindi na kufika mwisho (ukitegemea yatakuwepo mazuri zaidi) utakapo fika mwisho utajikuta hujachuma hata moja...na huwezi rudi nyuma tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…