mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Huo ni mfano mdogo,Yaani Viongozi wote wa TFF na wa timu pinzani hawalalamiki Yanga tu ndio mnalalamika ina maana Yanga ndio wanajua kuona wengine Vipofu? Malizeni Viporo vyenuNaomba uzi wako uende mbali zaidi kwa kuchambua kishera na kanuna za FIFA kabisa hizo mechi zinazolalamikiwa, Usiishe kusema labda ni offside trick tu.
Uhalisia utawale kuliko hisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha wa Namungo hakulalamika? Wachezaji wa Namungo hawakumfuata mshika kibendera na mwamuzi wa kati kulalamikia goli la tatu? Wachezaji wa Mwadui hawakulalamika wakati wanaenda kupachika goli kisha mshika kibendera akanyosha kibendera cha offside wakati hakukuwa na offside? Vipi jana wachezaji wa Polisi Tanzania hawakulalamika na goli la kwanza lililofungwa na mchezaji wa simba mpaka wakamvamia mshika kibendera ila wakaambulia kadi tu? Vipi kocha wa mbeya city hakulalamika kuwa Simba inawahonga marefa?Huo ni mfano mdogo,Yaani Viongozi wote wa TFF na wa timu pinzani hawalalamiki Yanga tu ndio mnalalamika ina maana Yanga ndio wanajua kuona wengine Vipofu? Malizeni Viporo vyenu
Sent using Jamii Forums mobile app
. Swali LA kujiuliza kwanini waamuzi wetu hawaitwi kuchezesha mashindano ya kimataifa? Yaleyale Unatraining kizamani uchezeshe mpira kisasa.Hakika nimekuwa nashangazwa na kauli ya Yanga na Mashabiki wake kuwa Simba inabebwa na Marefa.Binafsi napinga kwa sababu Uwanjani kuna Watu wengi wenye dhamana na mpira wanaofuatilia mambo mbalimbali uwanjani kuanzia Makamisaa,Marefa,Viongozi wa timu shiriki Wachezaji na watazamaji.Hivi kama Simba inabebwa Basi viongozi hao niliowataja nao wanaibeba Simba.Na kama Marefa wanaibeba Simba nilitegemea Marefa hao hao Wangehakikisha Yanga inafungwa kwani kuibeba Simba na Yanga ikawa inashinda itakuwa haina maana.Mashabiki wa Yanga wamesahau kuwa mpira una mambo mengi wachezaji hasa mabeki wanaweza wakawa wanacheza Offside Trick kwa timu penzi je Refa aseme Offside wakati mabeki wamemkimbia mshambuliaji? Kwani timu pinzani hazilalamiki ila Yanga ndio inalalamika? Yanga maji mengi unga kidogo gologeni Uji tu Ugali hakuna. Usiku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
. Swali LA kujiuliza kwanini waamuzi wetu hawaitwi kuchezesha mashindano ya kimataifa? Yaleyale Unatraining kizamani uchezeshe mpira kisasa.
Mwaka gani ilikuwa?Waamuzi wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa kwa sababu ya ile skendo ya Yanga kuhonga Marefa, hadi kupelekea Yanga kufungiwa kushiriki soka la nje miaka 3 mfululizo na viongozi wa Yanga walioko madarakani kipindi hicho yaani mwenyekiti na mweka hazina kufungiwa kutojihusisha na soka maisha.... sema swala hili waandishi uchwara huwa hawalihoji wao wanakimbilia kusema waamuzi hawana viwango ila sababu kubwa tulipigwa blacklist na Fifa hadi watakapojiridhisha, Ila hapa inatakiwa jitihada za viongozi waliopo madarakani wa TFF...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umewasikia Karia Msomali na Useless Mwakyembe?Hakika nimekuwa nashangazwa na kauli ya Yanga na Mashabiki wake kuwa Simba inabebwa na Marefa.Binafsi napinga kwa sababu Uwanjani kuna Watu wengi wenye dhamana na mpira wanaofuatilia mambo mbalimbali uwanjani kuanzia Makamisaa,Marefa,Viongozi wa timu shiriki Wachezaji na watazamaji.
Hivi kama Simba inabebwa Basi viongozi hao niliowataja nao wanaibeba Simba.Na kama Marefa wanaibeba Simba nilitegemea Marefa hao hao Wangehakikisha Yanga inafungwa kwani kuibeba Simba na Yanga ikawa inashinda itakuwa haina maana.
Mashabiki wa Yanga wamesahau kuwa mpira una mambo mengi wachezaji hasa mabeki wanaweza wakawa wanacheza Offside Trick kwa timu penzi je Refa aseme Offside wakati mabeki wamemkimbia mshambuliaji?
Kwani timu pinzani hazilalamiki ila Yanga ndio inalalamika? Yanga maji mengi unga kidogo gologeni Uji tu Ugali hakuna.
Usiku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app