Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 13,129 Reaction score 38,800 Apr 17, 2017 #1 salam, unapopewa mtihan wowote lazima uwe na mafunzo na mbinu za kufaulu mtihani huo. kama maisha ni mtihan namna gani tutafaulu angali mtihani wenyewe ni mmojaa wengine tumeachwa bila mbinu na mafunzo lakini wengine wamepewa mf elimu,mtaji,afya nk.
salam, unapopewa mtihan wowote lazima uwe na mafunzo na mbinu za kufaulu mtihani huo. kama maisha ni mtihan namna gani tutafaulu angali mtihani wenyewe ni mmojaa wengine tumeachwa bila mbinu na mafunzo lakini wengine wamepewa mf elimu,mtaji,afya nk.
1974hrs JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 740 Reaction score 536 Apr 17, 2017 #2 Jiongeze[emoji124]