Kama Lowassa hafai basi mpigie debe mama Anna wa ACT-Wazalendo

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,404
9,234
Nimekuwa nafuatilia makala mbalimbali za wachambuzi wa kisiasa hasa wale wote waliokuwa "wakijifanya" wako neutral hasa wanapomponda mgombea wa urais wa ukawa Mh lowasa. Uchambuzi wao umejikita kuwa lowasa ni fisadi asichaguliwe vile vile ukiwauliza tuambieni tumchague nani hawatoi jibu, Kama mnachukia ufisadi naamini mtakichukia hata chama cha mapinduzi lakini hamuongelei mabovu ya Magufuli. Kama Lowasa hafai na kweli mnataka mabadiliko kwani msiwaambie watanzania wamchague Mama Anna wa chama cha ACT? ili watanzania wawaelewe.
Swali hili liende kwa wafuatao
Mzee Mwanakijiji/Lula wa ndali Mwananzela
Dr Slaa
Mch Mtikila
Johnson Mbwambo
Joseph Mihangwa
Privatus Karugendo
Evarist Chahali
Na wengine wenye muelekeo huo.
 
Kama Lowassa hafai, afadhali kumpigia Hashim Rungwe kuliko mama wa ACT
 
Anayemponda Lowassa kabla ya kumponda Magufuli ana lake jambo kama siyo mnafiki ni mchawi usiku huwanga tu
 
Nimekuwa nafuatilia makala mbalimbali za wachambuzi wa kisiasa hasa wale wote waliokuwa "wakijifanya" wako neutral hasa wanapomponda mgombea wa urais wa ukawa Mh lowasa. Uchambuzi wao umejikita kuwa lowasa ni fisadi asichaguliwe vile vile ukiwauliza tuambieni tumchague nani hawatoi jibu, Kama mnachukia ufisadi naamini mtakichukia hata chama cha mapinduzi lakini hamuongelei mabovu ya Magufuli. Kama Lowasa hafai na kweli mnataka mabadiliko kwani msiwaambie watanzania wamchague Mama Anna wa chama cha ACT? ili watanzania wawaelewe.
Swali hili liende kwa wafuatao
Mzee Mwanakijiji/Lula wa ndali Mwananzela
Dr Slaa
Mch Mtikila
Johnson Mbwambo
Joseph Mihangwa
Privatus Karugendo
Evarist Chahali
Na wengine wenye muelekeo huo.

Huyu mama Anna, ataongoza nchi na nani?

HATUDANGANYIKI NA KURA ZETU HAZIGAWANYIKI KAMA UNAVYOTAKA.

NI LOWASA TU NDIYE ANAZUNGUKWA NA KUNDI KUBWA LENYE UWEZO, NIA, SIFA NA MORAL AUTHORITY YA KULIKOMBOA TAIFA. WENGINE WOTE MAKANJANJA.

KURA ZETU NI KWA UKAWA TU!
 
hivi magufuli kwann hatembei chini ya mwevuli wa ccm? tulizoea kusikia chagua ccm chagua mkapa, chagua ccm chagua kikwete. awamu hii ni tofauti hatusikii tena kauli za umoja hivi, tunasikia Tanzania ya magufuli.....Mara ni muadilifu. au huyu jamaa ni mgombea binafsi?
 
Mama Anna Mgwhira ndiye mgombea ambaye ameonesha kuwa mwenye uwezo wa kushughulikia matatizo yanayowakabili watanzania.
Chama kile ni kichanga sana, kimepata wapi fedha za kufanya Kampeni bila kutetereka !! Mfadhili wake anataraji kupata nini baada ya wao kushinda.
 
Mama Anna, anakubalika sana. msafi, mwadilifu na mchapakazi. anajieleza vizuri kwa ufasaha na anaeleweka vizuri. tatizo ni chuki kwa vile anatoka ACT ya Zitto. nawashanga wanawake wa Tz wanaodai haki sawa ya kijinsia, wamepata fursa ya kumtoa rais wa nchi mwanamke lakini wameshindwa kuitumia kwa kumuunga mkono mwenzao. kesho watadai mfumo dume kamdamizi.
 
Nimekuwa nafuatilia makala mbalimbali za wachambuzi wa kisiasa hasa wale wote waliokuwa "wakijifanya" wako neutral hasa wanapomponda mgombea wa urais wa ukawa Mh lowasa. Uchambuzi wao umejikita kuwa lowasa ni fisadi asichaguliwe vile vile ukiwauliza tuambieni tumchague nani hawatoi jibu, Kama mnachukia ufisadi naamini mtakichukia hata chama cha mapinduzi lakini hamuongelei mabovu ya Magufuli. Kama Lowasa hafai na kweli mnataka mabadiliko kwani msiwaambie watanzania wamchague Mama Anna wa chama cha ACT? ili watanzania wawaelewe.
Swali hili liende kwa wafuatao
Mzee Mwanakijiji/Lula wa ndali Mwananzela
Dr Slaa
Mch Mtikila
Johnson Mbwambo
Joseph Mihangwa
Privatus Karugendo
Evarist Chahali
Na wengine wenye muelekeo huo.

iwafikie idawa Jile79 Mzee Mwanakijiji Rweye Tetty na wengineo wenye siasa za kiunaharakati.
 
Last edited by a moderator:
iwafikie idawa Jile79 Mzee Mwanakijiji Rweye Tetty na wengineo wenye siasa za kiunaharakati.

Asante.Nimempenda aliyeandika.Ameandika UKWELI sawia,lakini hata pata majibu sawia zaidi ya MATUSI.

Nilishasema kama wezi vyama vyote viwili wametupatia wezi,lakini mmoja ametenda uhalifu wake zama za kale na mwingine ameendelea kuufanya mapaka alipoteuliwa kugombea.

TUnatakiwa kuchagua mmoja.

Huyu mmoja hata awe na sifa ya usafi kiasi gani kwa system ya CCM hawezi hata kuinua kalamu kuonya.

Wanaompigia CHAPUO wote ni wachafu.

Mkapa alipoingia tuliaminishwa ni MSAFI leo ni mchafu kuliko choo cha shimo kinachotaka kupakuliwa.

Tuliaminishwa JK msafi na Mzalendo kweli kweli ati chaguo la Mungu akak viatu vya JKN vimepata mmiliki,tunaona kwa macho yetu jinsi yeye ,rafiki zake na familia yake ilivyojimilikisha mali mpaka inatisha ,kiasi kwamba anatafuta mrithi atakaye msaidia kumlinda.

Bora twende na Mchafu ili tutamucontroll humo humo,na ninauhkika huyu MCHAFU aliyechafuka zama hizo atatoka msafi.

Asante kwa kunicopy.
 
Mimi nawaomba pamoja na kumponda Lowassa wafanye kila jitihada kuhakikisha wanaiambia Tume ya Uchaguzi kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa huru na haki. Ili tuweze kuona je maandishi yao yalisaidia kwa kiasi gani
 
Asante.Nimempenda aliyeandika.Ameandika UKWELI sawia,lakini hata pata majibu sawia zaidi ya MATUSI.

Nilishasema kama wezi vyama vyote viwili wametupatia wezi,lakini mmoja ametenda uhalifu wake zama za kale na mwingine ameendelea kuufanya mapaka alipoteuliwa kugombea.

TUnatakiwa kuchagua mmoja.

Huyu mmoja hata awe na sifa ya usafi kiasi gani kwa system ya CCM hawezi hata kuinua kalamu kuonya.

Wanaompigia CHAPUO wote ni wachafu.

Mkapa alipoingia tuliaminishwa ni MSAFI leo ni mchafu kuliko choo cha shimo kinachotaka kupakuliwa.

Tuliaminishwa JK msafi na Mzalendo kweli kweli ati chaguo la Mungu akak viatu vya JKN vimepata mmiliki,tunaona kwa macho yetu jinsi yeye ,rafiki zake na familia yake ilivyojimilikisha mali mpaka inatisha ,kiasi kwamba anatafuta mrithi atakaye msaidia kumlinda.

Bora twende na Mchafu ili tutamucontroll humo humo,na ninauhkika huyu MCHAFU aliyechafuka zama hizo atatoka msafi.

Asante kwa kunicopy.
Asante sana kamanda nimefurahi kusikia hivyo nilidhani bado una misimamo kama akina mzee mwanakijiji. Ni furaha tele kuona umerejea tena kwenye basi letu la mabadiliko.
 
Hamkunielewa toka mwanzo kwa bahati mbaya.Ila huwezi kuona KIBANZI kwenye jicho la ADUI yako kama HAUJATOA BORITI kwenye jicho lako.
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa ACT ni CCM B.Ni kweli pia kwamba Lowassa afya yake sio nzuri na anayepinga hili ana Lowasamania.Lakini pia Magufuli hafai kwa vile yuko CCM.Watanzania tuko njia panda.Tufanye nini sasa maana choices zote hazifai.Kama wote tungekuwa na umoja na ufahamu wa kutosha tungegomea uchaguzi wa mwaka huu mpaka tupate acceptable choices.This is the best alternative according to me.Ila kwa watanzania ninavyowajua this alternative is unthinkable.
Nimekuwa nafuatilia makala mbalimbali za wachambuzi wa kisiasa hasa wale wote waliokuwa "wakijifanya" wako neutral hasa wanapomponda mgombea wa urais wa ukawa Mh lowasa. Uchambuzi wao umejikita kuwa lowasa ni fisadi asichaguliwe vile vile ukiwauliza tuambieni tumchague nani hawatoi jibu, Kama mnachukia ufisadi naamini mtakichukia hata chama cha mapinduzi lakini hamuongelei mabovu ya Magufuli. Kama Lowasa hafai na kweli mnataka mabadiliko kwani msiwaambie watanzania wamchague Mama Anna wa chama cha ACT? ili watanzania wawaelewe.
Swali hili liende kwa wafuatao
Mzee Mwanakijiji/Lula wa ndali Mwananzela
Dr Slaa
Mch Mtikila
Johnson Mbwambo
Joseph Mihangwa
Privatus Karugendo
Evarist Chahali
Na wengine wenye muelekeo huo.
 
Mama Anna, anakubalika sana. msafi, mwadilifu na mchapakazi. anajieleza vizuri kwa ufasaha na anaeleweka vizuri. tatizo ni chuki kwa vile anatoka ACT ya Zitto. nawashanga wanawake wa Tz wanaodai haki sawa ya kijinsia, wamepata fursa ya kumtoa rais wa nchi mwanamke lakini wameshindwa kuitumia kwa kumuunga mkono mwenzao. kesho watadai mfumo dume kamdamizi.
Huyu mama ni kiboko! Wanaume wanashindwa kwenda kuanza kujinadi huko Visiwani Zanzibar na Pemba, lakini yeye ametinga kwanza! Fomu zake za udhamini zilijazwa kwa masaa tu kabla ya kuzirudisha NEC wakati wengine walitumia siku kadhaa!
 
Hata mimi nampenda huyu mama ila kwa mwaka huu nachagua ukawa kwa sababu ndio wana nafasi kubwa ya kuing'oa ccm ukilinganisha na act.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom