Kama kweli wewe utafanyaje?

LexAid

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,931
Reaction score
774


Wana JF, Huyu Jamaa (Nostradamus) alitabiri mambo kadhaa ya ulimwengu. Moja yapo ni kwamba imebaki Siku Moja tu tufikie muda wa maisha yetu Duniani. Je mnalionaje hili? na Ungependa kufanya kitu gani kabla ya mwisho wako?
 
siwezi kufanya sababu mwisho wa dunia bado sana na kwanini nifanye wakati dunia ikiisha na miminitakuwa nimeisha.
 
Kwa mujibu wa biblia takatifu hakuna mtu anaiyejua siku wala saa ya mwisho wa dunia . Huyo shehe Yahaya wa kizungu ni wa kupuuzwa
 
Kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa ambayo mwana wa Adam yuaja.
 
Kama dunia ikiisha kesho ni nani basi atakayebaki hai??? Hivyo hakuna la kuhofia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…