Kama kweli unatetea wanyonge kwanini unatembea na uzio wa chuma? unawaogopa wanyonge?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,014
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show
 
Napita tu
IMG_20190918_213048.jpg
 
Very myopic, we unawaona wanyonge tu, vipi jamaa zako wa Acacia!!

..vipi jamaa zako wa Barrick?

..wamekukatia kiasi gani?

..Na Accacia walikupa kiasi gani wakati ukitetea sheria na mikataba mibovu ya madini tangu miaka ya 90?
 
Kwani wanaomzunguka na anaopishana nao ni wanyonge peke yake? Au wewe ni mojawapo ya walioshindwa kubomoa ukuta wa chuma sasa umeamua kufanya provoking ukidhani itakusaidia kufikia lengo lako? Tena wangeongeza ukuta uwe mnene mara tatu maana msije mkahatarisha usalama wa mtetezi wetu.
 
Hivi umewahi kuwaona hao wanyonge wanavyopata mkong'oto mara wanyanyuapo mabango yao ya malalmiko mbele ya huyo mtetezi wenu wanyonge.
 
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show
Leo amesaini mkataba na Airbus wa kununua ndege 2_ wakati huo ameomba mkopo was kupambana na Ebola. Hopeless kabisa huyu mtu
 
Wewe ni mtaalamu wa maswala ya ulinzi kwa viongozi? tuambie ni ulinzi upi anaotakiwa kuwekewa. Nakumbuka mkuu wa ulinzi wa obama alishinikizwa kujiuzulu kutokana na kuyumba kwa ulinzi pale white house hadi mtu akapenya kutaka kuingia ndani.
 
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show
Mbona unalalamika sana kuhusu uzio kwan ulitaka asiwe na uzio ili ufanye nn?? Na wanyonge mbona hawalalamiki unalalamika ww kibaraka?? Kitu kizuri lazima kilindwe sana ili kiendelee kutumika muda mrefu..
 
..vipi jamaa zako wa Barrick?

..wamekukatia kiasi gani?

..Na Accacia walikupa kiasi gani wakati ukitetea sheria na mikataba mibovu ya madini tangu miaka ya 90?
Kaoge kwanza maji baridi halafu ndio urudi tuongee, labda tutaelewana.
 
Back
Top Bottom