Kama kweli unatetea wanyonge kwanini unatembea na uzio wa chuma? unawaogopa wanyonge?

Mtetezi wa wanyonge anapowanyonga wanyonge wamekabwa shingo hata mlo mmoja Kwa siku ni shida,biashara hazitoki,ajira hakuna,Kilimo akilipi sababu ardhi imelowa damu na machozi ya wanyonge.
 
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show
Kwani ye ndie anaandaa ulinzi? Huyo jk mwenyewe hatukuwahi kumuona amekaa na wavuvi anapiga story. Japo aliwaachia mpige dili mtakavyo.
 
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show

Mbona hueleweki Hoja yako hasa ni nini Ndugu? Ndiyo maana Wapinzani hamtotawala Tanzania hii kwani Ujengaji Hoja wenu umekaa Kimajungu, Kitoto na Kiumbeaumbea tupu.
 
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show
Mental retarded thinkings ( mawazo ya Mataahira haya)
 
Very myopic, we unawaona wanyonge tu, vipi jamaa zako wa Acacia!!
Myopic ni wewe, huna unalojua kuhusu ACACIA wewe, mbona hajatoa press release ya kulipwa pesa anazowadai?
Nyie ni Praise team, just play your part mengine hamyajui ,ujinga ni kipaji chenu.
 
Kwani wanaomzunguka na anaopishana nao ni wanyonge peke yake? Au wewe ni mojawapo ya walioshindwa kubomoa ukuta wa chuma sasa umeamua kufanya provoking ukidhani itakusaidia kufikia lengo lako? Tena wangeongeza ukuta uwe mnene mara tatu maana msije mkahatarisha usalama wa mtetezi wetu.
Mtetezi wenu dhidi ya nani? mmepata Uhuru lini?
 
Kuna mada zingine zinaanzishwa hadi najiuliza hivi huyu mtu kichwa chake kina ubongo au mavi ya ng'ombe?
 
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show
Ndani ya wanyonge wapo wapiga zumari wa mabeberu kama wewe mtamdhulu.
 
Lazima usalama wa Rais uwe imara

Huoni mafisadi yalivyobinywa yanaweza kupanga hila
 
Myopic ni wewe, huna unalojua kuhusu ACACIA wewe, mbona hajatoa press release ya kulipwa pesa anazowadai?
Nyie ni Praise team, just play your part mengine hamyajui ,ujinga ni kipaji chenu.
Na wewe pia nikusaidie kuujua ujinga wako pia. Ni kudhani unaweza kukurupa hapa ku-profile watu kwa kuokoteza comments zao. Take it easy!
 
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show
Anatembea na watu pembeni wana mabegi madogo meusi!

Hivi ni nini ile ndani ya mabegi meusi?????😂😂😂😂

Ukizingatia anavyopendwa na watanzania 😂😂

Kwanini ipo hivyo???
 
Sidhani kama una akili zinazokutosha.watumishi wa MUNGU wenyewe wana ilinzi na ndiyo wanahubili AMANI.analindwa papa mwenye wafuasi bilioni moja duniani watu wa dini sembuse mkuu wetu anayeongoza na wengine wasiomjua MUNGU!! serikali zote duniani zinalinda viòngozi wao,hata wale 12 waliokua wamemzunguka YESU ndo ilikua TISS yake.

We sijui wa wapi na liroho lako la chuki
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show
 
Ni Rais gani duniani asiyetembea na ukuta wa chuma? Papa mwenyewe analindwa na ukuta wa chuma.
Ok ila ukitaka kumjua mtu vema tizama matendo yake. Na ndicho Watz walio wengi wanachokitizama kwa sasa. Wamechoka kwani wanatambua kuwa maneno matupu hayavunji mfupa.
 
Back
Top Bottom