Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Nimefuatilia baadhi ya maamuzi ya rais Magufuli na kugundua kuwa anaonyesha kuwa ni mzalendo na mwenye uchungu na rasilimali za nchi hii, hivyo basi nakuomba Mh rais yaondoe haya mashangingi yanayotumiwa na wakuu wa wilaya, mikoa na Mawaziri ili tuamini kuwa umeamua kupunguza matumizi ya serikali.