Kama kuna Uchaguzi kesho,tunatakiwa kupumzika sasa

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,449
Kesho kuna Uchaguzi ambapo watu wataamka mapema,na labda watachelewa kulala. Kwa hiyo tupumzike vizuri tuwe tayari kwa shughuli ya kesho. Na itakuwa ni kazi kubwa,siyo tofauti na Burundi. Dr. Shein ana kazi kubwa kama Nkurunzinza;to convince the Zanzibaris that the election is necessary,pia jumuia ya kimataifa.
 
Nchi za Ulaya zimegoma kuleta waangalizi wao wakiamini kuna kitu hakiko sawa kuhusiana na uchaguzi huu.
 
Mtihani mingine binadamu huwa tunajitakia wenyewe incase ilikitokea lolote kesho Zanzibar naomba Mungu asihusishwe nalo
 
ubakwaji wa demokrasia unaoenda kufanyika kesho. Huu uchaguz ni kama mchezo wa watoto wa kujipikilisha namaanisha unajpikia mwenyewe michanga una igiza kula mwenyewe huku unatemea pembeni alaf baada ya hapo unaenda nyumbani na kujifarij umejua kupika na mchezo ulikuwa mzur KUMBE UJINGA MTUPU
 
Nini maoni yako wewe binafsi. Huu uchaguzi ni haki au sio haki? Wewe kama wewe Andrew Nyerere,toka ndani ya moyo wako waonaje?
 
Nchi za Ulaya zimegoma kuleta waangalizi wao wakiamini kuna kitu hakiko sawa kuhusiana na uchaguzi huu.

Zikileta zisilete hazituhusu. Mbona sie hatupeleki Wambea kwny uchaguzi wao? Hakuna sheria wala kanuni zinazowataja hao wanaojiita waangalizi
 
Kesho kuna Uchaguzi ambapo watu wataamka mapema,na labda watachelewa kulala. Kwa hiyo tupumzike vizuri tuwe tayari kwa shughuli ya kesho. Na itakuwa ni kazi kubwa,siyo tofauti na Burundi. Dr. Shein ana kazi kubwa kama Nkurunzinza;to convince the Zanzibaris that the election is necessary,pia jumuia ya kimataifa.
"They want to cling to the power at all costs, and the more they are challenged, the nastier and dangerous they become."-Mpitanjia.
 
Back
Top Bottom