Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,727
Habari za majukumu.... natumaini wewe ni mhusika ndomaana umefungua post hii, swalilangu ni Je, umewahi kwenda kuwanga ukiwa na smartphone au tablet yako? Kipindi unasafiri na ungo kuelekea huko uendako ulipata muda wa kuperuzi Jf au ktk mitandao mingine? Unapokuwa angani network haisumbui? Ahsante.