queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 76
Habari wana JF, kama kuna alieitwa TPDC kati ya wale tuliofanya interview ya mwisho tupeane update please
Dah! Asante mkuu ngoja tuendelee kusubiliBado kaka mm na jamaa zangu tunawasiliana ila kimya ......hope soon watatoa results.
Nimeitwa kwa post ya Plant Manager
By TzPride:
Nimeitwa kwa post ya Plant
Manager
TzPride
Kwa hiyo position wameamua
kuchkua mzawa mmoja wngine
watakuwa expatriates maana
wazawa wangine hawaku-meet
qualifications. Posts zingine ndio
tunaziweka sawa zitatoka soon.
Haina haja ya kupoteza nafasi ya kuwasikiliza watu wenye kujiona wao ni bora na ukisoma maelezo hayo ya huyo anayeita Tz Pride unaona kabisa anachoongea ni uongo mtupu,tuendelee kusubiri naamini watatoa tu majina kama walivyoita kwenye Oral Interview