Kama kikwete ame mshindwa RA wananchi tuwatoe wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kikwete ame mshindwa RA wananchi tuwatoe wote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gaza, Jan 21, 2011.

 1. G

  Gaza Senior Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  huu niwakati watanzani wakuonyesha kua tuna sauti na maamuzi kwenye nchi yetu,hii nchi imekua kama haina mwenyewe nchi ina tawaliwa na majizi raisi tuliye mpa dhamana ya kutuongoza yuko kimiya,sasa umefika wakati tuondoe woga tuikomboe nchi yetu vinginevyo majizi yatatumaliza kila siku tuna piga kelele za dowans kupanda kwa gharama za umeme ,ges mafisadi wanatuona wapumbavu kila siku wana panga jinsi ya kuharakisha malipo ya dowans .tusimame imara wa Tanzania tuna malizwa
   
 2. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  The only way is Tunisian way! Peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer:frusty:
   
Loading...