jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,339
Huyu jamaa ambaye makazi yake ni pale kwa bibi nyau alipotajwa kwenye orodha ya wafanyabiashara wanaojihusisha na madawa ya kulevya nilishawishika kwa mbaaaaaali kuwa mpambano una kaukweli kiaina.
Lakini alipoenda Central police akaonana na Sirro, muda mfupi baadae akirudi zake "kwa bibi nyau" akitumia usafiri wake wa Jeep jekundu, ama kwa hakika wakazi majirani na Iddi wanaona mtu mmoja anavyowafanya watanzania kuwa "mazoba"
Yaani Iddi huyu huyu tunaemfamu??
Au mna malengo yenu????