Una low level of machurity, na hufai kuwa wife material.Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha ya sasa utakuta mtu asiye na viatu ana mshauri mwenye viatu[emoji23][emoji23]
Hana jinsi tu. Inabidi azoee kelele, ila mi naonaga uchizi huoHe! Basi pole kwa mume wangu kipenzi.
Acha kelele weweUjumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na moja ya raha na starehe kubwa za ndoa,ni hizo kelele za mkeUjumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!