Kunywa maji ili ueleze vizuriAisee mpka natetemeka kwa yakionikuta
SecondedNdugu zangu kama kijana mwenzenu nawashauri kama huna sababu za msingi usiingie kwenye mahusiano,
Mahusiano ya sasa ni hasara tupu, hakuna faida hata moja utakayopata zaidi ya kujiongezea matatizo.
Huyu naye alianza kujitambulisha kimasihara masihara tu