hahahah...ndio maana inglishi kozi ni dili sana siku izi!LOL!!Ziko hadi za chini ya muti.
Nitahakikisha mwanangu wa kiume anasoma English Medium....ataumbuka na st. Halmashauri tulizosoma sisi wazazi. Maofifini ndio balaa kabisa mpaka siku niliwahi kuuliza hivi dada kakulia nje nini? niaambiwa aah wapi? Kakulia Bukoba tena ndani kbs sema alisoma 5/6 st. Mama yetu yule.
Embu imagine kwa mfano uliye mrefer hapo angekuwa mwanamke ndio unataka kumtokea........? angekuwa anakutukana hata hujui.
Siku hizi kwa kina dada esp. maduu wamesahau kiswahili kabisa na baadhi yao hata hawajawahi kusafiri na kufika Nairobi achania mbali USA/EURO kwa mfano ukikutana na mdada mlimani city ukamuuliza kitu labda sehemu flani ni wapi? .... utasikia nafikiri(itakavyo tamkwa burudani tosha) keep right then ask s/body utakayemwona ila walikagakumove to new place i think wapo karibu(itakavyo tamkwa burudani tosha).
Ukimkuta ulievutiwa naye ukute unataka kumfahamu zaidi ataangusha swagger la kufa mtu, am busy right now labda na na nazani u-u-ngechukuwa or Y cant I get ur no. na na na nita I mean will call u right back nikiwa free, nafikiri itakuwa pouwa... is that ok with u? Maneno ni yakutafutaaaa mpaka anakata stimu. Ukimkuta aliyesoma ST. MAMA YETU ZILE ndio balaa kabisa.
Na wewe usipochangia kwa kutupa neno 1/2 ya kidhungu ushamkosa mtu baada ya miaka 5 ......sijui?
Unajua mademu wanapenda sana kujipandisha chati, hiyo ni njia moja wapo aliyekwenda shule lazima akikutana na kidume kinataka ulizia bei lazima apige ngeli ili kukutambulisha kwamba yeye si mlugaluga darasa kaliona au hata ile gia yao kaja juzi toka kiwanja ikunase sawa sawa, au yeye si mbongo akipiga ngeli na ulimi akiupinda kidogo utasema kaja jana toka UK. wa uswazi wa wanajindisha chati na MIKOROGO na ukimuuliza unakaa wapi utasikia MIKOCHENI, MASAKI, MBEZI au SINZA wakati kumbe kwao mwananyamala kwa kopa hahahahaha, dada zetu bana hadi RAHA huwa nawa enjoy sana pale Mlimani City, na siku hizi ukiwapata hao wa st mama nani hii date ya kwanza kama si M City, km town utasikia steers, mwingine utasikia ntakuwa Kempinski kuanzia saa moja usiku ilimradi wakuchune tuu
demu yoyote yule ni HELA TU!,ANKARA,MKWANJA,CHAPAA.hata awe nani sijui unaua kiulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mkuu umeuwaa, ha ha ha ha te te te, wengi wao hawasemi ukweli. Sijui kwa nini unakuta mtu anapoteza bahati hivivi halafu wanakimbilia kanisani mikesha kuomba wachumba.