Marahaba mwanangu miss chagga, unaendeleaje?
hadi password zingine unasahau...ila mi nkiamua kufanya uFBI ha ha ha sihitaji kushika hata simu na nnapata mainfo usipokuwa makini ntajua hadi ulivochepuka ulipga vingapi lolTeh teh teh, kina sehemu nimeweka password nishasahu
ha ha ha serious???Hahaha hebu fanya uFBI thn ninong'oneze pm
Yes serious,
Pm only
Teh teh teh, embu leta izo info nione kwanza
Teh teh unaongea kama kweli vile