Kama hujawahi kusoma Vitabu hivi Basi hujui utamu wa vitabu

Vingine hivi

#Vya_zamani_dhahabu

1.Siku ya Watenzi wote (1968) Shaaban Robert
2.Nyota ya Rehema (1978) M.S Mohamed
3.Dunia Mti Mkavu (1980) Said A.Mohamed
4.Rosa Mistika (1971) E.Kezilahabi
5.Alipanda Upepo Akavuna Tufani (1969) John N.Somba
6.Titi la Mkwe (1972) Alex Banzi
7.Kasri ya Mwinyi Fuad (1979) Shafi Adam Shafi
8.Kichwa Maji (1974)E.Kezilahabi
9.Kiu (1972)M.S.Mohamed
10.Tata za Asumini (1990)Said Ahmed Mohamed
11.Kifo cha Ugenini (1977)Olaf Msewa
12.Kaburi bila Msalaba (1971)M.Kareithi
13.Kuli (1976)Shafi Adam Shafi
14.Kwa Heri Iselamagazi (1992)B.Mapalala
15.Wimbo wa Sokomoko (1990)A.Lihamba
16.Ngome ya Mianzi (1991)M.M.Mulokozi
17.Ngoma ya Mianzi (1992)M.M.Mulokozi
18.Miradi Bubu ya Wazalendo (1992)G.Ruhumbika
19.Dunia Uwanja wa Fujo (1975)E.Kezilahabi
20.Adili na Nduguze (1952)Shabaan Robert
21.Kusadikika (1951)Shabaan Robert
22.Lila na Fila (1966)J.K.Kiimbila
23.Mbojo Simba-Mtu (1971)N.J.Kuboja
24.Mirathi ya Hatari (1977)C.Mung'ong'o
25.Nagona (1987)E.Kezilahabi
26.Mzingile (1991)E.Kezilahabi
27.Mafuta (1984)K.G.C.Mkangi
28.Mwisho wa Mapenzi (1972)Simbamwene J.
29.Kweli Unanipenda? (1978)Simbamwene J.
30.Jeraha la Moyo (1974)Kiango,S.D
31.Pete (1978)Komba,S.M
32.Kwa Sababu ya Pesa (1972)Simbamwene J.
33.Buriani (1975)F.Katalambula
34.Mtu Mwenye Miwani Meusi (1970)L.O.Omolo
35.Kifo Changu ni Fedheha (1972)S.J.Chadhoro
36.Tabu (1977)A.Komanya
37.Ufunguo wa Bandia (1979)Hmmie Rajab
38.Kikomo (1980)E.Musiba
39.Mzimu wa Watu wa Kale (1960)M.S.Abdulla
40.Kisima cha Giningi (1968)M.S.Abdulla
41.Duniani kuna Watu (1973)M.S.Abdulla
42.Siri ya Sifuri (1974)M.S.Abdulla
43.Mwana wa Yungi Hulewa (1976)M.S.Abdulla
44.Kosa la Bwana Msa (1984)M.S.Abdulla
45.Simu ya Kifo (1965)F.Katalambula
46.Muuaji ni nani? (1987)Simbamwene J.
47.Dimbwi la Damu (1984)Ben Mtobwa
48.Kijasho Chembamba (1980)Ganzel
49.Kikosi Cha Kisasi (1979)E.Musiba
50.Njama (1981)E.Musiba
51.Mpango (1982)K.M.Kassam
52.Tutarudi na roho Zetu? (1987)B.Mtobwa
53.Roho Mkononi (1984)Hammie Rajab
Shukran sana mkuu kwa kumbukumbu
 
kuna jamaa anaitwa George sijui nani? nae ni hatari jamaa ni chipukizi ila anajua sana.
 
Nakuongezea orodha hapo!

Kuna mwandishi mwanadada anachipukia ameandika vitabu vya Riwaya Viwili
1.Dira ya Moyo
2. Kiroba Cheusi

Hivi vitabu vitafute uvisome. Hutajuta.

Huyu ni mwandishi Fundi Mshona Maneno
Anaitwa LAURA PETTIE.
 
Kusema Joram Kiango ni kitabu cha kawaida na kitabu cha Erick Shigongo kukiweka katika vitabu bora zaidi ya vya kawaida huu ni mzaha mkubwa wa karne!!!

Ben R. Mtobwa siyo mtu wa kumuweka chini ya Shigongo. Hapa 'umefeli' kabisa.
 
African writers series, humu nilienda sana 1. Things fall apart 2.This time tommorow 3.No longer at ease 3.The great pond of wangaba 4.The River Between 5.Three suiters one husband 6.The beutyful one is not yet Born 7. Is it possible 8.The Man of the people 8.Notyet Uhuru 9. An enermy of the people 10.Whip not a child 11.Facing Mount Kenya etc nilibahatika kupita humo twenty years ago!
 
African writers series, humu nilienda sana 1. Things fall apart 2.This time tommorow 3.No longer at ease 3.The great pond of wangaba 4.The River Between 5.Three suiters one husband 6.The beutyful one is not yet Born 7. Is it possible 8.The Man of the people 8.Notyet Uhuru 9. An enermy of the people 10.Whip not a child 11.Facing Mount Kenya etc nilibahatika kupita humo twenty years ago!
Nami nimepita humohumo 10 yrs ago
 
Back
Top Bottom