Kama hujawahi kucheka pitia hapa

Kama hujawahi kucheka pitia hapa

Wale machizi waliotoroka Mirembe hivi walipatikana wote?

Huyu jamaa ni noma, niliposoma hiyo post yake wazo lilikuja kuwa ni chizi, then nikaamua kusoma replies, guess what? nimecheka kwa makavu mliyompa.

Kisha nikastuka kuwa nimecheka ndo nikagundua jamaa yupo right..kama hujawahi kucheka pitia hapa!!!!!
 
Back
Top Bottom