Huyu ni house girl wa mchezaji mpira Mbwana Samatta. Inabidi nasisi watanzania tubadilike tusione kazi za chini kama ulinzi kuzoa taka na kuosha masufuria hotelini ndio zinazotustahili, hebu tubadilike tuwaajiri wachina wafilipino na wabangaladesh katika kazi za kuzoa taka.
Utakuta watu wanalalamika wachina wamejazana kariakoo wengine wanakokota hata mikokoteni, ndiyo hizo kazi ndio wanapaswa kuzifanya wakiwa huku na sio kuwa mameneja na wakarugenzi wa makampuni.
Utakuta watu wanalalamika wachina wamejazana kariakoo wengine wanakokota hata mikokoteni, ndiyo hizo kazi ndio wanapaswa kuzifanya wakiwa huku na sio kuwa mameneja na wakarugenzi wa makampuni.