Kama hauwezi kusamehe usaliti kwanini unaoa?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,741
12,641
Wazee wenu walishasema "Kitanda hakizai haramu".

Wazee wenu walishasema "kuchapiwa ni siri ya ndani".

Misemo yao yote hiyo ni kuilinda ndoa isivunjike panapotokea usaliti, sasa wewe unaesema huwezi kusamehe usaliti unaoa ili iweje na wakati wazee wenu wameshawa andaa kisaikolojia kukubali usaliti?

Mjanja M1 ✍️
 

Ushasema maneno ya wazee, hakuna kitu kama hicho
 
Wanasamehe sana tu. Sema wakiwa kwenye QWERTY wanajifanya mashujaa😄😃😀🤣🤣🤣 mmbaaaaffffff
 
Kama kuingia ndoani kunaenda sambamba na kuhalalisha infidelity, basi iingie kwenye kiapo cha ndoa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…