K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,589 Reaction score 14,912 Jun 1, 2025 #1 Tunazungushana na drama ambazo hazina maana. Kama kuna watu hawapingi utekaji tumaomba mtupe sababu zenu tuzijadili bila hivyo tufunge mjadala kama wote tutakubaliana kwamba hakuna sababu yeyote ya msingi ya kumteka mtu
Tunazungushana na drama ambazo hazina maana. Kama kuna watu hawapingi utekaji tumaomba mtupe sababu zenu tuzijadili bila hivyo tufunge mjadala kama wote tutakubaliana kwamba hakuna sababu yeyote ya msingi ya kumteka mtu
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 62,785 Reaction score 105,517 Jun 1, 2025 #2 Gwajima alitaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa-Fatma Karume
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,987 Jun 1, 2025 #3 Embu tuambie kwanza; Nani kamteka nani? Maana huenda una unachokijua Ili tarahisishe kazi.
K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,589 Reaction score 14,912 Jun 1, 2025 Thread starter #4 DATAZ said: Embu tuambie kwanza; Nani kamteka nani? Maana huenda una unachokijua Ili tarahisishe kazi. Click to expand... Unaunga mkono utekaji nchi kwa sababu yeyote na kwa mtu yeyote? Ndiyo au hapana? Kama ndiyo tupe sababu
DATAZ said: Embu tuambie kwanza; Nani kamteka nani? Maana huenda una unachokijua Ili tarahisishe kazi. Click to expand... Unaunga mkono utekaji nchi kwa sababu yeyote na kwa mtu yeyote? Ndiyo au hapana? Kama ndiyo tupe sababu
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 62,785 Reaction score 105,517 Jun 1, 2025 #5 Gwajima anatumia bendera ya Israel-Zitto
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,406 Jun 1, 2025 #6 Kwa hili la kupinga utekaji gwajima kaitendea haki nchi yetu
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 23,011 Reaction score 32,907 Jun 1, 2025 #7 Una hakika Gani wanatekwa Kuna diwani mmoja alipotea ....Baada ya wiki ....kumbe kafungiwa na mchepuko hapo DSM (Aisha Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Una hakika Gani wanatekwa Kuna diwani mmoja alipotea ....Baada ya wiki ....kumbe kafungiwa na mchepuko hapo DSM (Aisha Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
C chararaa JF-Expert Member Joined Mar 26, 2025 Posts 1,861 Reaction score 2,890 Jun 1, 2025 #8 Yoda said: Gwajima alitaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa-Fatma Karume Click to expand... Fatma karume nae mdini sana hana maana zama za magufuli mdomo ulikiwa juu sana tukaamani ni mpigania haki za usawa kumbe nae ana udini na uzanzibar
Yoda said: Gwajima alitaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa-Fatma Karume Click to expand... Fatma karume nae mdini sana hana maana zama za magufuli mdomo ulikiwa juu sana tukaamani ni mpigania haki za usawa kumbe nae ana udini na uzanzibar