linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,713
- 4,369
Naomba kujua hivi kama CUF itashinda uchaguzi wa leo Tume itaufuta tena? Kwa kuwa CUF wamesema hawashiriki uchaguzi huo lkni baadhi ya wanachama na wapenzi wakaenda kupiga kura na kuchagua viongozi wa chama hicho...