kama "CONDOLIZA" ameweza kwanini Sisi hatuwezi??????????

LINO

New Member
Apr 12, 2011
2
0
Alie kuwa waziri wa mambo ya n"je wa Marekani Bi Condoliza mara baada ya kumaliza muda wao wa kuiongoza Marekani amerudi CHUONI NA ANACHAPA PINDI KAMA KAWAIDA. cha kujiuliza wasomi wetu walio kimbilia kwenye siasa kama sio "SIHASA" mfano
Profesa Mwaki Mwandisya
Profesa Jumannne Magembe
Dk Mwakyembe...................na wengineo hivi nini hasa Mchango wao kwa Elimu ya Wanazuoni wetu wa TZ
hatusikii hata siku moja moja wakiandika japo makala kwenye magazeti yetu au kutoa Muhadhara juu ya matatizo ya Tanzania na jinsi ya kuyatatua?????????????
ubinafsiiiiiiiiii ama ufisadiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa Peasa Aliyo invest Mwalimu kuwasomeshaaaa pesa wanatukopesha hata motisha ya kutusaidis uelewa hawatoi!!!!!! kazi ni sihasa tuuuuu!!!!! inashangaza profesa gani hana mchango kwenye ELIMU ya sasa wanaringia majina ya kale
 
Condoleeza Rice,
Mwanamama hodari kwenye diplomasia, ila huwa anapenda varangati (vita). Alikuwa ni mshauri wa masuala ya kiusalama wa George W. Bush wakati akimshambulia Saddam while Collin Powell akiwa waziri wa mambo ya nje wa marekani.
 
Back
Top Bottom