Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
CHADEMA mlisema hamumtambui Rais magufuli kwanini mnataka yeye awatambue?
Kwa mda mrefu sasa CHADEMA kikiwa ni miongoni mwa vyama vinavyounda ukawa wamekuwa wakidai kutengwa na uongozi wa Rais magufuli kwenye mambo mbalili ya ujenzi wa jamii.
Lakini sote tunajua kuwa UKAWA wakiongozwa na CHADEMA ndiyo walikuwa wa kwanza kudai kuwa hawatambui serikali ya magufuli pamoja na magufuli mwenyewe.
Dhamila yao hii ilitiliwa mkazo na wabunge wa ukawa walipotoka bungeni wakipinga kusikiliza hotuba ya mh Rais JPM wakati anazindua bunge la kumi na moja.
Hii inatoa picha ya moja kwa moja kuwa CHADEMA na UKAWA yao hawamtambui magufuli kwanini wao wanataka wamlazimishe magufuli awatambue wakati wao walisema hawamtambui?
Mimi nakubaliana na msimamo wa Magufuli kama kweli anawatenga na awatenge zaidi maana wenyewe ndiyo walianza kumtenga, anayekupenda mpende asiyekupenda achana naye watumikie watanzania huu siyo mda wa kuuza sura bali ni mda wa kazi tu.