Kama CCM si safi & Hakuna aliye msafi ndani ya CCM....

Kama CCM si safi & Hakuna aliye msafi ndani ya CCM....

Saracen

Senior Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
145
Reaction score
63
Huyu anafanya nini ndani ya CCM? Na kwa wanaompenda wanatete vipi hoja ya huyu kuwa ni CCM damu?

Dr-Harrison-Mwakyembe.jpg

Kweli inawezekana mtu akawa ndani ya CCM na akawa msafi?
 
Huyu anafanya nini ndani ya CCM? Na kwa wanaompenda wanatete vipi hoja ya huyu kuwa ni CCM damu?

Dr-Harrison-Mwakyembe.jpg

Kweli inawezekana mtu akawa ndani ya CCM na akawa msafi?
haiwezekani kuwa msafi na kubaki ndani ya CCM, huyu ni mpenda madaraka, muoga na mnafiki. J.K Nyerere alionyesha wazi kama angeendelea kuishi kidogo angeondoka CCM.
 
mkuu kuwezi kupata mtu msafi ndani ya ccm,mwangalie Magufuli alikuwa waziri wa ardhi na makazi,alihusika kujiuzia nyumba za serikal ikwa bei ya kutupa wao,familia zao na mahawara zao,na hata leo akiulizwa anatetea.
Kimaro alitaka kupeleka hoja ya nyumba za serikali zirudishwe akapingwa,magufuli shujaa wao jizi tu,Huyo jamaa alidiriki kusema kama tukisema yote kuhusu Richmond serikali inaweza kuanguka,ila kwa sababu ni mpenda madaraka aliamua kukaa kimya na sasa kapewa madaraka kimya,simuonei huruma na ndiyo maana wakataka kumuua ili asije akasema ukweli.
hakuna msafi ndani ya ccm
 
Back
Top Bottom